kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Harudii tena!Ntaachaje kufanana Akili na Mwanadam mwenzagu sasa
Au ulitaka niwe kama ww ulie fanana Akili na Nyumbu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harudii tena!Ntaachaje kufanana Akili na Mwanadam mwenzagu sasa
Au ulitaka niwe kama ww ulie fanana Akili na Nyumbu!!
Mazoezi yako ya kujikinga na polisi!View attachment 1503978
Daah! nguvu ya umma labda kuwe na tz mbili ila kwa hii niijuayo hilo halitotokea kwani wengi wao wanamkubali JPMSubirini nguvu ya umma itakavyowaonesha mwaka huu. Pamoja na dola yenu nawaambia mtapoteana
Unazungumzia nani!Mtulie sasa zamu ya wenzenu Sasa mlivyo waoga hata bendera mnaogoa sijui mtafanyaje lkn ndio hivyo hatutaki bunduki
Unamvimbia nani sasa!Pole sana taga
Watanzania wengine wajinga sana yaani wanaona fahari kwenda na kujikita kwenye chama zee ambacho babu zao walikianzisha kwa maslahi ya wakati ule kuleta uhuru. Utakuta mtu anaona fahari na kuanza kusema chama kina hela, chama kina sijui nini..., Watu waliopaswa kujisifu ni vyama vilivyoanzishwa juzi kati tu lakini vimekuwa tishio kiasi cha chama zee kuwavunja miguu na wengine kuwaua. Hawa ndio wapiganaji ccm unaona fahari gani wakati jeshi lote la polisi limekuwa mwanachama wa ccm, na wapinzani wamenyimwa kufanya siasa?! Kingekuwa chama chenye hoja na watu makini wenye demokrasia sawa lakini hawa wanaobebwa na dola? Mtu mmoja alisema angalia watu walio ccm, wana tabia moja; ni watu wa kupenda mdebwedo aka mteremko. Wapiganaji wapo CDM, etcHuwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.
Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.
Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar
Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Mwanamfalme ni yule alijikwapulia chama toka kwa mkwewe!Kama mlivyofanya leo baada ya kumtendeka mwana wa mfalme akaendelee kuitawala zenji
Ndio dunia ilivyo unafikiri kwani hampendi mambo mazuri ndio hivyo mmeamua kupenda visivyokubalika!
Ni maoni yako na mtazamo uheshimiwe kwa hoja huna!Watanzania wengine wajinga sana yaani wanaona fahari kwenda na kujikita kwenye chama zee ambacho babu zao walikianzisha kwa maslahi ya wakati ule kuleta uhuru. Utakuta mtu anaona fahari na kuanza kusema chama kina hela, chama kina sijui nini..., Watu waliopaswa kujisifu ni vyama vilianzishwa juzi kati tu lakini vimekuwa tishio kiasi cha chama zee kuwavunga miguu na wengine kuwaua. Hawa ndio wapiganaji ccm unaona fahari gani wakati jeshi lote la polisi limekuwa mwanachama wa ccm, na wapinzani wamenyimwa kufanya siasa?! Kingekuwa chama chenye hoja na watu makini wenye demokrasia sawa lakini hawa wanaobebwa na dola? Mtu mmoja alisema angalia watu walio ccm, wana tabia moja; ni watu wa kupenda mdebwedo aka mteremko. Wapiganaji wapo CDM, etc
Mwanamfalme ni yule alijikwapulia chama toka kwa mkwewe!
Mimi sioni hicho unachoita ndimu zaidi ya kulalama tu!Naona nimewamwagia ndimu ya jicho wa na mwenzako motochini. Ukweli huwa unaumiza, sio kwamba sijui, najua sana.
Ni maoni yako na mtazamo uheshimiwe kwa hoja huna!
Mimi sioni hicho unachoita ndimu zaidi ya kulalama tu!
Jikomboe na ccm mkuu huoni shida kuwa ccm?Ni maoni yako na mtazamo uheshimiwe kwa hoja huna!
Nyinyi si mliwachagulia mchaga toka machame walipowashtukia nukuu mwenyewe maneno ya duni haji!Leo mmewachagulia wazenj kiongozi kutoka bara tena kule mkuranga
Chama chenye sera imara na mabadiliko kulingana na mazingira na wakati uliopo na hakina mrengo wa kifamilia wala kikabila!Jikomboe na ccm mkuu huoni shida kuwa ccm?
Wewe ni zaidi!Wewe hujawahi kuwa na hoja tangu ujiunge hapa jamvini
Wewe ni zaidi!
CCM inamilikiwa na jiwe 100% ndio maana hata kura za HAPANA kwenye mkutano mkuu zimebadilishwa mara moja kuwa 100% jiwe.Chama chenye sera imara na mabadiliko kulingana na mazingira na wakati uliopo na hakina mrengo wa kifamilia wala kikabila!
Mimi sioni hicho unachoita ndimu zaidi ya kulalama tu!