Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Uchaguzi 2020 Hakika Chama Cha Mapinduzi kipo mioyoni mwa watu

Pole sana taga
Unamvimbia nani sasa!
107687119_872163436610945_6068390433393403784_n.jpg
 
Huwezi amini nimepita kwenye media zote, kwenye mitandao ya kijamii.

Kila account ya MwanaCHADEMA wameweka matatizo yao pembeni wanazungumzia CCM chama dume.

Kufuatia mkutano wao mkuu ulioandaliwa mahususi na ufanisi mkubwa kumpata mpeperushaji wa bendera ya Uraisi Jamhuri ya Muungano na visiwani Zanzibar

Hii inadhihirisha ukongwe wa chama hiki na nini kinafanya ili waige yale yote
Kweli CCM itabaki juu daima
Watanzania wengine wajinga sana yaani wanaona fahari kwenda na kujikita kwenye chama zee ambacho babu zao walikianzisha kwa maslahi ya wakati ule kuleta uhuru. Utakuta mtu anaona fahari na kuanza kusema chama kina hela, chama kina sijui nini..., Watu waliopaswa kujisifu ni vyama vilivyoanzishwa juzi kati tu lakini vimekuwa tishio kiasi cha chama zee kuwavunja miguu na wengine kuwaua. Hawa ndio wapiganaji ccm unaona fahari gani wakati jeshi lote la polisi limekuwa mwanachama wa ccm, na wapinzani wamenyimwa kufanya siasa?! Kingekuwa chama chenye hoja na watu makini wenye demokrasia sawa lakini hawa wanaobebwa na dola? Mtu mmoja alisema angalia watu walio ccm, wana tabia moja; ni watu wa kupenda mdebwedo aka mteremko. Wapiganaji wapo CDM, etc
 
Watanzania wengine wajinga sana yaani wanaona fahari kwenda na kujikita kwenye chama zee ambacho babu zao walikianzisha kwa maslahi ya wakati ule kuleta uhuru. Utakuta mtu anaona fahari na kuanza kusema chama kina hela, chama kina sijui nini..., Watu waliopaswa kujisifu ni vyama vilianzishwa juzi kati tu lakini vimekuwa tishio kiasi cha chama zee kuwavunga miguu na wengine kuwaua. Hawa ndio wapiganaji ccm unaona fahari gani wakati jeshi lote la polisi limekuwa mwanachama wa ccm, na wapinzani wamenyimwa kufanya siasa?! Kingekuwa chama chenye hoja na watu makini wenye demokrasia sawa lakini hawa wanaobebwa na dola? Mtu mmoja alisema angalia watu walio ccm, wana tabia moja; ni watu wa kupenda mdebwedo aka mteremko. Wapiganaji wapo CDM, etc
Ni maoni yako na mtazamo uheshimiwe kwa hoja huna!
 
Naona nimewamwagia ndimu ya jicho wa na mwenzako motochini. Ukweli huwa unaumiza, sio kwamba sijui, najua sana.
Mimi sioni hicho unachoita ndimu zaidi ya kulalama tu!
 
Chama chenye sera imara na mabadiliko kulingana na mazingira na wakati uliopo na hakina mrengo wa kifamilia wala kikabila!
CCM inamilikiwa na jiwe 100% ndio maana hata kura za HAPANA kwenye mkutano mkuu zimebadilishwa mara moja kuwa 100% jiwe.
 
Back
Top Bottom