Uchaguzi 2020 Hakika Dkt. Magufuli haamini macho yake. Alifikiri A, imekuwa B!

Nilipojua kuwa Magufuli hafai kabisa kuwa kiongozi kwenye karne hii ni pale ambapo kila siku anapeleka bungeni sheria za kudhibiti na kuwabana watu wasiwe na uhuru wa kuhoji wala kutoa maoni yao. Kiongozi wa namna hiyo hafai kwa kipimo chochote kile.

Leo hii, Dunia nzima, watu wanatinga sheria za kuwapa watu uhuru zaidi na haki zaidi, yeye anafanya kinyume chake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sehemu. Gan apa khm town
 
Magufuli ameturudisha nyuma sana kwa kuvunja Sheria
Miradi mingi haijafuata utaratibu
 
Magufuli hana mbadala kwasasa ilo liko wazi endeleeni kujifariji. Mitano mingine
 
Lisu akipita anaharibu namuona mgombea mweza wa urais kupitia chama Cha ccm yupo mkoa wa kusini yaani watu bado hamuelewi mama yetu samia suluhu Hadi Sasa maana.wapowapo tu.
 
Utayaamini hayo siku matokeo yakitangazwa. Yaani wewe una akili za kipoyoyo, unazubaishwa na watu wanaokuja mikutanoni. Kuna watu wanakuja kumshangaa na kujionea namna alivyo kituko.

Just stay tuned. Vumbi la okt 28. JPM atakavyo gonga A+ ya over 90 huku kituko chako kikiambulia F( a single digit)
 
wAT
Me mwenyewe kura yangu kwa Lissu....haiwezekani miaka mitano yote hii sijawahi kununua nguo dukani hata jeans moja tu.maisha magumu watoto wa wenye wanasoma tu na hakuna ajira
Watakwambia ulikuwa unapiga dili
 
Miaka mitano akipiga kampeni huku akitumia pesa zetu kutekeleza matakwa yake badala ya matakwa ya watanzania
 
hahahaaaa hahahaaaa!

kweli Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako!
 
Toooo late akampuzike tu kwa kweli hakuna namna
 
Kwaiyo Lissu ndio atakununulia Nguo?
Jitume tafuta pesa kwa Akili na jasho lako, Watu wananunua ndinga mpya kila siku wewe unafikiria Lissu atakupa nafuu ya Maisha.
Akiwepo lisu hata usiponunua nguo mpya moyo unakuwa na amani macho yanakuwa na furaha mengineyo yanatiririka kama maji kutoka milimani na malaika wa Mungu anakuwa katikati yetu
 
Na bado ataona nyota zote huyu mkabila.
 
Kwaiyo Lissu ndio atakununulia Nguo?
Jitume tafuta pesa kwa Akili na jasho lako, Watu wananunua ndinga mpya kila siku wewe unafikiria Lissu atakupa nafuu ya Maisha.
Achana na Mimi wewe nijitume mpaka ninye ndio uamini nimejituma, mazingira ya biashara ni magumu kaka
Yani wewe unamatatizo kweli wewe umejuaje kama ajitumi, Mpaka Jamaa anawaza kutita barabarani huku akitafuta , uwe unaelewa , hii miaka mitano imekuwa michungu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…