Na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akanibariki na hii Shani ( Tunu ) ya kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.
Moderator huu ni utapeli wa kimtandao. Sera ya mtu mmoja ID moja ianzishwe. Mnafuga vijana wa ajabu sanaSijui Haters hawa Matola, OKW BOBAN SUNZU, malantu na Wengineo kadhaa wameiona hii Mkuu...!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Sio kwamba watu wana mchukia ana mambo ya hovyo thread nzima anatukana watu ,hataki challenge kuna haja gani ya kuanzisha thread kama hutaki mawazo mbadala si ukae nayo mwenyeweHivi inakuaje mtu anamchukia mwenzake kwenye mitandao ya kijamii mtu ambae hata hamjawahi onana wala kuwa na ukaribu wowote?
Ukiona chuki mtandaoni jua fika ni umaskini wa hali ya juu hUwez kuwa na kipato alaf ukawa na chuki za kijinga mtandaoni hasa kwa watu usio wajua.
Binafsi naziona post za genta zipo ninazoona zina faa zipo ambazo anaenda tofauti na mawazo yangu ila sio chanzo cha kumchukia kisa kapost kitu sijapenda au kwa mtazamo wangu naona hayuko sawa.
Uhuru wa kujieleza ndio huu kua na chuki huo ni umaskini na upopoma wa hali ya juu
Sasa kama nimeshakujua kuwa Wewe ni Mpumbavu, Mnafiki na una Chuki na Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums nitakubali vipi tena unipe Challenge katika Mijadala?Sio kwamba watu wana mchukia ana mambo ya hovyo thread nzima anatukana watu ,hataki challenge kuna haja gani ya kuanzisha thread kama hutaki mawazo mbadala si ukae nayo mwenyewe
Nitafurahi sana kama hawa Moderator ( Moderators ) wakijiridhisha kuwa hizi IDs zote ambazo huwa zinaanzisha hapa Threads za Kunisifia ( Kitu ambacho Mpuuzi na Juha kama Wewe hupendi kwa Wivu na Chuki zako kutokana na Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums ) nawaomba wasiishie tu Kuziunganisha bali Waniondoe ( Wanifute ) kabisa hapa JamiiForums sawa?Moderator huu ni utapeli wa kimtandao. Sera ya mtu mmoja ID moja ianzishwe. Mnafuga vijana wa ajabu sana
GENTAMYCINE ni mwanamke mkuu tena muuza genge hapa rangi3 mbagal🤣Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
Asante sana na mno Mkuu. Hata hivyo kwa huku Kunisifia Kwako tegemea damn Fools wengi hapa Wakiongozwa na OKW BOBAN SUNZU kukuambia kuwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba nina Multiple ID's na hapa nimekuja Kivingine ili tu Kujipakulia Minyama ( Kujisifia )Hivi inakuaje mtu anamchukia mwenzake kwenye mitandao ya kijamii mtu ambae hata hamjawahi onana wala kuwa na ukaribu wowote?
Ukiona chuki mtandaoni jua fika ni umaskini wa hali ya juu hUwez kuwa na kipato alaf ukawa na chuki za kijinga mtandaoni hasa kwa watu usio wajua.
Binafsi naziona post za genta zipo ninazoona zina faa zipo ambazo anaenda tofauti na mawazo yangu ila sio chanzo cha kumchukia kisa kapost kitu sijapenda au kwa mtazamo wangu naona hayuko sawa.
Uhuru wa kujieleza ndio huu kua na chuki huo ni umaskini na upopoma wa hali ya juu
Hujakosea Mkuu halafu ni Fukara mno.GENTAMYCINE ni mwanamke mkuu tena muuza genge hapa rangi3 mbagal🤣
n fukara lkn n mrembo hatarHujakosea Mkuu halafu ni Fukara mno.