Hakika GENTA anaakili nyingi Sana

Hakika GENTA anaakili nyingi Sana

Na ndiyo maana Mwenyezi Mungu akanibariki na hii Shani ( Tunu ) ya kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.

Mzee baba huwa unakaa na kadikshenari ka vivumishi vya sifa pembeni...šŸ˜‚

Hatari sana kwa milanguage...
 
Hivi inakuaje mtu anamchukia mwenzake kwenye mitandao ya kijamii mtu ambae hata hamjawahi onana wala kuwa na ukaribu wowote?

Ukiona chuki mtandaoni jua fika ni umaskini wa hali ya juu hUwez kuwa na kipato alaf ukawa na chuki za kijinga mtandaoni hasa kwa watu usio wajua.

Binafsi naziona post za genta zipo ninazoona zina faa zipo ambazo anaenda tofauti na mawazo yangu ila sio chanzo cha kumchukia kisa kapost kitu sijapenda au kwa mtazamo wangu naona hayuko sawa.

Uhuru wa kujieleza ndio huu kua na chuki huo ni umaskini na upopoma wa hali ya juu
 
Sio kwamba watu wana mchukia ana mambo ya hovyo thread nzima anatukana watu ,hataki challenge kuna haja gani ya kuanzisha thread kama hutaki mawazo mbadala si ukae nayo mwenyewe
 
Sasa kama nimeshakujua kuwa Wewe ni Mpumbavu, Mnafiki na una Chuki na Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums nitakubali vipi tena unipe Challenge katika Mijadala?

Hauna Akili acha kunipotezea muda!!
 
Moderator huu ni utapeli wa kimtandao. Sera ya mtu mmoja ID moja ianzishwe. Mnafuga vijana wa ajabu sana
Nitafurahi sana kama hawa Moderator ( Moderators ) wakijiridhisha kuwa hizi IDs zote ambazo huwa zinaanzisha hapa Threads za Kunisifia ( Kitu ambacho Mpuuzi na Juha kama Wewe hupendi kwa Wivu na Chuki zako kutokana na Umaarufu wangu mkubwa hapa JamiiForums ) nawaomba wasiishie tu Kuziunganisha bali Waniondoe ( Wanifute ) kabisa hapa JamiiForums sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Hivi inakuaje mtu anamchukia mwenzake kwenye mitandao ya kijamii mtu ambae hata hamjawahi onana wala kuwa na ukaribu wowote?

Ukiona chuki mtandaoni jua fika ni umaskini wa hali ya juu hUwez kuwa na kipato alaf ukawa na chuki za kijinga mtandaoni hasa kwa watu usio wajua.

Binafsi naziona post za genta zipo ninazoona zina faa zipo ambazo anaenda tofauti na mawazo yangu ila sio chanzo cha kumchukia kisa kapost kitu sijapenda au kwa mtazamo wangu naona hayuko sawa.

Uhuru wa kujieleza ndio huu kua na chuki huo ni umaskini na upopoma wa hali ya juu
Asante sana na mno Mkuu. Hata hivyo kwa huku Kunisifia Kwako tegemea damn Fools wengi hapa Wakiongozwa na OKW BOBAN SUNZU kukuambia kuwa Wewe ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba nina Multiple ID's na hapa nimekuja Kivingine ili tu Kujipakulia Minyama ( Kujisifia )

Halafu Mkuu nisaidie nawe Kuniulizia hili Swali langu ambalo kila nikiwauliza huwa hawanijibu au wanakwepa Kunijibu.....

Ni kwanini 99% ya wale Wanaohubiri Kutwa hapa JamiiForums kuwa Wananichukia mno na Wengine hata kuomba niwe napigwa BAN ndiyo hao hao kila Siku ( 24/7 ) Wanaongoza Kunifuatilia kwa Kusoma Threads na Posts zangu na wengine hata wakiwa ni miongoni mwa Followers wangu wapatao 127 hapa JamiiForums?

Tafadhali wakikujibu Unitagi tu Mkuu.
 
Back
Top Bottom