Hakika GENTA anaakili nyingi Sana

Hakika GENTA anaakili nyingi Sana

Hahahah Wana chuki Binafsi tu na wewe
Ukibarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu ni lazima tu Wapumbavu, Wachawi na Wendawazimu wa katika Jamii yako na hata Mitandaoni Watakuchukia tu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Sasa una nini mpaka niwe team Genta? Naona wasiojitambua wame like upuuzi ulioandika.
Unaweza kuwajibu Members hapa hili Swali ni kwanini Wewe pamoja na Kunichukia na Kutonikubali Kwako kote ila 24/7 uingiapo ( Log In ) hapa JamiiForums ni lazima tu Usome Threads na hata Posts zangu?

Tunasubiri Jibu lako ili tupime IQ yako.
 
Mnamuita GEENTA popoma. Hapana, hawezi kua popoma. He is very bright
Sawa, kila shetani na mbuyu wake. Hebu tujikumbushe alichosema huyo unayemkubali:

Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa ( 9 ) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League. Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna ( tukawa na Usununu ) mno kwani kwa jinsi Mayele alivyo wa Moto ( kwenye Fomu ) yake sasa iwe isiwe leo atafunga peke yake ama Goli 3 au 6 au hata 9 Mguuni mwake. TFF waandae Mipira mingi sana leo!!!
 
Niwe muwazi Huyu jamaa
GENTAMYCINE kajaliwa sana kipaji Cha uandishi wa kipekee,Kuna muda huwa anajitoa ufahamu na kuandika utani,upuuzi,vitu vya kufurahisha nkk....Lakini Kuna muda huwa anaandika vitu vya ndani sana ambayo kwa Hali ya kawaida ni kama jamaa ana taarifa nyingi au connection kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika...Halafu yeye sio Siasa tu,ni kwenye kila kitu,hata jukwaa pendwa lile la MMU aliandika kitu Fulani nilijua Huyu jamaa ni Akili kubwa sana na anajua mengi...

Kiufupi jamaa habari zake hata Makundi ya Whatsapp watu huwa Wana copy na kutuma kumbe sisi tuliopita JF Tunajua kabisa source ni JF na mwandishi ni Genta.

Ki ufupi tumpe heshima yake Huyu mtu
 
Asante na Ubarikiwe sana Mkuu wangu. Ila je, umejiandaaje Kuambiwa na Wapumbavu, Waswahili na Wendawazimu hapa kuwa Wewe ni Mimi ( Multiple ID's ) na kwamba nimekuja Kivingine ili Kujisifia na kutafuta Umaarufu zaidi?

Mwenyezi Mungu alitulia mno wakati ananiumba GENTAMYCINE Mimi na ndiyo maana nikawa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi nilivyo.

Sijui Haters hawa Matola, OKW BOBAN SUNZU, malantu na Wengineo kadhaa wameiona hii Mkuu...!!

Mimi ni mtu ambaye nishapewa sana lawama kwa kusema ukweli,Mimi penye kusifia nasifia kwenye kukosoa nakosoa pia...Yaani kwa akili ya kawaida uwe na ID'S zote hizi za kujisifia mbona ni jambo lisilowezekana.

JF itabidi iwape tunzo tu,wewe na mshana Jr,muendelee Kutupa madini.

Mimi Nakuelewa sana Mkuu.
 
Hahaha wewe ni mwamba bwana.Duniani Kuna watu wameumbwa kutokubali uwezo wa mtu hata ufanya vipi vizuri.Ila Sisi wengine ambao hatuna roho za kukunja tunapenda kumpa pongezi mtu akiwa hai.Ili kumpa moyo kwa akifanyacho.Mimi hakuna thread yako yoyote nitaacha kusoma nikiona tu Genta....

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Grea
 
Mimi ni mtu ambaye nishapewa sana lawama kwa kusema ukweli,Mimi penye kusifia nasifia kwenye kukosoa nakosoa pia...Yaani kwa akili ya kawaida uwe na ID'S zote hizi za kujisifia mbona ni jambo lisilowezekana.

JF itabidi iwape tunzo tu,wewe na mshana Jr,muendelee Kutupa madini.

Mimi Nakuelewa sana Mkuu.
Asante Mwenyezi Mungu kwa Baraka zako nyingi Kwangu baada ya Kuniumba na hasa hasa kwa Kunifanya niwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi.
 
Hahaha wewe ni mwamba bwana.Duniani Kuna watu wameumbwa kutokubali uwezo wa mtu hata ufanya vipi vizuri.Ila Sisi wengine ambao hatuna roho za kukunja tunapenda kumpa pongezi mtu akiwa hai.Ili kumpa moyo kwa akifanyacho.Mimi hakuna thread yako yoyote nitaacha kusoma nikiona tu Genta....
Asante zaidi Mkuu na Ashukuriwe sana Mwenyezi Mungu kwa Kuniumba GENTAMYCINE na Utajiri wa Baraka tele ambazo kwa Wengine Kwao ni Chukizo na Wivu mwingi juu yangu hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
shida ya huyu bwana hawezi kupambana na changamoto ambazo ni negative au positive au mtu mwenye mawazo tofauti.hawezi kubeba mambo kiume,ona kama hapo wanaoonesha hawamkubali hana ziada zaidi ya matusi,ukiona mtu anatukana ovyo ovyo!ujue sio rika letu ,sio lazima watu wote humu wakukubali matusi ni kujivua nguo na kuonesha upumbavu wako!
 
Asante na Ubarikiwe sana Mkuu wangu. Ila je, umejiandaaje Kuambiwa na Wapumbavu, Waswahili na Wendawazimu hapa kuwa Wewe ni Mimi ( Multiple ID's ) na kwamba nimekuja Kivingine ili Kujisifia na kutafuta Umaarufu zaidi?

Mwenyezi Mungu alitulia mno wakati ananiumba GENTAMYCINE Mimi na ndiyo maana nikawa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi nilivyo.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Wewe Popoma mbobevu, rudi hospitali haraka ukaendelee na yale matibabu yako ya afya ya akili. Bado hujachelewa.
 
shida ya huyu bwana hawezi kupambana na changamoto ambazo ni negative au positive au mtu mwenye mawazo tofauti.hawezi kubeba mambo kiume,ona kama hapo wanaoonesha hawamkubali hana ziada zaidi ya matusi,ukiona mtu anatukana ovyo ovyo!ujue sio rika letu ,sio lazima watu wote humu wakukubali matusi ni kujivua nguo na kuonesha upumbavu wako!
Pumbavu.
 
Back
Top Bottom