Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

Hii duniani ukitaka uwe na amani live your life. Usiishe Ili umridhishe mwanamke, we timiza wajibu wako.
 
Hakuna mwanaume mwenye pesa anaekaa nyumbani.
Mwenye pesa hana muda na mwenye muda hana pesa. Wanawake toshekeni. Huwezi pata vyote pesa na muda
 
Wanawake huwa wanatafuta vitu wasivyovipata, ukiwa na pesa ataliwa na bodaboda, muuza mkaa, muuza chips. Kama hauna pesa ataliwa na Boss, yeyeto mwenye pesa.
Wengine huwa tunaangalia watoto tu mengine yao hatuyajali Ili kuepuka kufa mapema.
 
mwanamke ukitaka kuishi nae vizuli kabisa bila usumbufu akikisha anakuwa chini yako kwa kila kitu
 
Dr wa mchongo kaongea ukweli 1000%. Hata saa mbovu husema ukweli mara 2 kwa siku. Sio Dr Mwaka tu aliyesema hali bali tafiti mbalimbali hapa duniani zinaonesha kuwa mwanamke hata umpe utajiri wa dunia nzima hatosheki. Na pia hata umgegede mara ngapi na hata uwe na dudu kubwa kama la punda, unajisumbua bure.....mwanamke haridhiki hadi Yesu atakaporudi labda ambadilishe kuwa kiumbe tofauti, atabakia vivo hivyo daima dawamu. Wanawake ni NYOKO asikuambie mtu aisee!
 
Kitu pekee alichosahau ni kwamba sio wanawake tu bali hata wanaume haturidhiki

Hiyo ni fact ndiyo Human nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…