Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hilo ndilo kosa la wanaume wengine kumchukulia mwanamke ndo kila kitu katika maisha yakoNaunga mkono hoja 1000%. Ukimchukulia mwanamke ndo kila kitu Katika maisha yako... Jiandae kufa kwa presha au kujinyonga au kuua. Hawana maana kabisa hv viumbe