Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

Naunga mkono hoja 1000%. Ukimchukulia mwanamke ndo kila kitu Katika maisha yako... Jiandae kufa kwa presha au kujinyonga au kuua. Hawana maana kabisa hv viumbe
Hilo ndilo kosa la wanaume wengine kumchukulia mwanamke ndo kila kitu katika maisha yako
 
Ukweli ndio huo ukiwa na pesa ya kumfanyia kila Jambo bado haitoshi ukiwa huna ndio shida ukijifanya unataka kushindana na ulipotoka kumrizisha bado hutaweza mapenzi tuyaache Kama yalivyo na ukishindana nayo mwisho ni kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…