bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Zamani ipi unayoongelea wewe?Mwaka juzi Juve anacheza final na barca uliona alichowafanya Madrid?Juve ni zamani chief, hawezi tembea mbele ya kina modric.
Kwanza nimesahau,UEFA haitetewagi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani ipi unayoongelea wewe?Mwaka juzi Juve anacheza final na barca uliona alichowafanya Madrid?Juve ni zamani chief, hawezi tembea mbele ya kina modric.
Acha uongo...we hauna nyumba rafiki yanguHabarini Wadau,
Kwa mshabiki nguli yeyote wa soka (Die hard fan) wa Juventus namkaribisha tu bet.
Mimi ninaweka nyumba yangu kubwa mezani na yeye aweke tu elfu 50 tu.
Hivi vibibi vya Turin ndio vimeishia kuipiga Lazio...ila kwa Madrid wanaenda kufunzwa adabu hao watoto.
Anybody to bet ? [emoji12]
Kabisa, ila hapa tujue kabisa kuwa jamaa wako mahali wanalenga vichwa vyetu!Mkuu tuvae tshet kubwa ya picha ya magufuli
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kabisa, ila hapa tujue kabisa kuwa jamaa wako mahali wanalenga vichwa vyetu!
Fact, UEFA haijawahi kutetewa na itaendelea hivyo hivyo!!Zamani ipi unayoongelea wewe?Mwaka juzi Juve anacheza final na barca uliona alichowafanya Madrid?
Kwanza nimesahau,UEFA haitetewagi.
kweli, msako wa madrid sio wa kitoto. Mashuti ya mbali, wako vizuri mipira ya kona, Counterattack ndio usiseme, man to man pia wako vizuri, Free kicks ndio kwao. Kwa team kama Juve lazima ikae bora kama ingekua nusu fainali. Mimi ni team Barca ila kwa hili sitaki stress.Juve watapigwa kuanzia 3 or more.
Muulize barca....Juve ni zamani chief, hawezi tembea mbele ya kina modric.
Umepotea mkuukweli, msako wa madrid sio wa kitoto. Mashuti ya mbali, wako vizuri mipira ya kona, Counterattack ndio usiseme, man to man pia wako vizuri, Free kicks ndio kwao. Kwa team kama Juve lazima ikae bora kama ingekua nusu fainali. Mimi ni team Barca ila kwa hili sitaki stress.
kweli ulinzi siwaamini sana ila hakuna hofu maana HIguain hadi afunge goli moja inabidi akose kumi.Umepotea mkuu
Barani ulaya safu ya ulinzi imara ni ya juve msimu huu
Zingatia kuwa zaidi ya 90% za mechi Madrid wanatoboka kuonesha n wabovu katika ulinzi
Kaka utagombana na MWENYE nyumba wako..Habarini Wadau,