HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

kweli ulinzi siwaamini sana ila hakuna hofu maana HIguain hadi afunge goli moja inabidi akose kumi.
Kwa kutafuta Goli Madrid wako vizuri. Yote maneno ngoja tusubiri kitu mubashara...
Wakati Higuain kakosa hayo kumi, Dybala keshafanya yake.
Uefa haitetewagwi, ukuta wa juve sioni ukitobolewa na Madrid. Hawa jamaa ni stuborn.
 
utoe nyumba kabisa kwa mechi ambayo hata haikuhusu? kwanza nyumba yenyewe huna bado unapanga upande wa uani.
Ninapanga wapi? Una uthibitisho?

Sijawahi kupanga tangu nizaliwe mkuu.
 
Mkuu hakuna kiungo hovyo kama ya Juve tokea aondoke Pogba.

Yaan ball position wataachwa mbali na bado watapigwa goli kuanzia 3.

Cr7 kama kawa....!
Huyo juve ndo mechi 7 mfululizo za uefa karuhusu goli moja tu la Monaco bado una mashaka naye?
 
Back
Top Bottom