barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Wakati Higuain kakosa hayo kumi, Dybala keshafanya yake.kweli ulinzi siwaamini sana ila hakuna hofu maana HIguain hadi afunge goli moja inabidi akose kumi.
Kwa kutafuta Goli Madrid wako vizuri. Yote maneno ngoja tusubiri kitu mubashara...
Uefa haitetewagwi, ukuta wa juve sioni ukitobolewa na Madrid. Hawa jamaa ni stuborn.