HAKIKA: Juventus ikimfunga Madrid UEFA naitoa nyumba yangu bure.

Juve ni zamani chief, hawezi tembea mbele ya kina modric.
Zamani ipi unayoongelea wewe?Mwaka juzi Juve anacheza final na barca uliona alichowafanya Madrid?

Kwanza nimesahau,UEFA haitetewagi.
 
Acha uongo...we hauna nyumba rafiki yangu
 
Halafu anajifanya kubeti bila ditel za maana hapa au anataka watu wanaokoment ajione nae kaja na post ya maana
Ditel [emoji117] Details

Kajifunze kuandika kwanza kisha urudi.
 
Na mie pia napenda Real Madrid washinde,lakin my friend record ya mechi ya Juventus na Real Madrid ni ya ajabu kidogo.Madrid uwa anapigwa sana.
Those years...not presently.
 
Juve watapigwa kuanzia 3 or more.
kweli, msako wa madrid sio wa kitoto. Mashuti ya mbali, wako vizuri mipira ya kona, Counterattack ndio usiseme, man to man pia wako vizuri, Free kicks ndio kwao. Kwa team kama Juve lazima ikae bora kama ingekua nusu fainali. Mimi ni team Barca ila kwa hili sitaki stress.
 
utoe nyumba kabisa kwa mechi ambayo hata haikuhusu? kwanza nyumba yenyewe huna bado unapanga upande wa uani.
 
Umepotea mkuu
Barani ulaya safu ya ulinzi imara ni ya juve msimu huu
Zingatia kuwa zaidi ya 90% za mechi Madrid wanatoboka kuonesha n wabovu katika ulinzi
 
Muulize barca....
Fuatilia record yake ya uefa msimu huu
Simu hyo mtakimbiana
Mkuu hakuna kiungo hovyo kama ya Juve tokea aondoke Pogba.

Yaan ball position wataachwa mbali na bado watapigwa goli kuanzia 3.

Cr7 kama kawa....!
 
Umepotea mkuu
Barani ulaya safu ya ulinzi imara ni ya juve msimu huu
Zingatia kuwa zaidi ya 90% za mechi Madrid wanatoboka kuonesha n wabovu katika ulinzi
kweli ulinzi siwaamini sana ila hakuna hofu maana HIguain hadi afunge goli moja inabidi akose kumi.
Kwa kutafuta Goli Madrid wako vizuri. Yote maneno ngoja tusubiri kitu mubashara...
 
Kaka utagombana na MWENYE nyumba wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…