Hakika kauli hii ilinishangaza

Tatzo unajiona unajua Kila kitu kwenye Afya.. Kwan Kila anayekufa huwa anathibitiwa na Docta kuwa amekufa. Mara ngapi watu hupiga chafya wako mochwari. Dactari huwa hathibitishi.
 
Hv wewe upikapo chakula huwa unamtafuta CHEF ili akuthibitishia kama kimeiva?
 
Asante Mkuu.
Rushwa ni adui wa haki na ndo maana juzi hapa Mama Mjamzito kafariki kwa kukosa 150,000 huko Handeni.
 
Unajua kuna watu hawana aibu kama maiti. Yaani huyo Mama alijitoa ufahamu na kujilipua kwa kuomba rushwa bila hofu yoyote, Duu hatari kweli kweli. Ila afadhali ulitoa SHIT na ukafanikiwa.
 
Mkuu tulipanga kuondoka asubuhi hivyo tuliona ni bora iwe hivyo.
 
Hii ni chai. Mtu hawezi kumrudisha akiwa njiani mgonjwa anayempeleka hospital eti amefariki. Big no. Kwanza kile kiwewe unachokuwa nacho hutaamini kama amefariki na utataka tu kumfikisha hospital.
Mkuu nidanganye ili inisaidie nini? na iwe kwa faida ya nani?
 
Jamaa hawana huruma wala aibu yaani inasikitisha sana.
 
Kwanini msingemfikisha hospital pengine alikua kazidiwa tu? Au mlikua na vipimo kwenye gari?
 
Yaani nahisi ilikuwa ni kuchanganyikiwa Mkuu. Hali ile sitamani imtokee Mwanadamu yeyote yule ya kufiwa na ndugu mikononi mkiwa njiani kwenda hospitali. Kamwe siwezi sahau tukio lile.
 
Sijawahi na wala sitarajii kamwe kuleta habari ya uongo hapa JF. Never ever !
Kuna anayekubali kuwa analeta au ataleta habari ya uongo? Ni habari yenyewe ndiyo ina attract suspicious! Kwa mfano yako... unasema kuwa shemeji yako alishaponda na alikuwa mzima kabisa halafu akaumwa ghafla. Mkiwa mnampeleka hospital akafariki na mkaamua kurudisha mwili nyumbani na usiku ule ule mkapanga kusafirisha kesho msiba yake. Daa utadhani mlikuwa mmejiandaa kwa msiba au ninyi ndiyo mlimuua...
 
Hii ni chai. Mtu hawezi kumrudisha akiwa njiani mgonjwa anayempeleka hospital eti amefariki. Big no. Kwanza kile kiwewe unachokuwa nacho hutaamini kama amefariki na utataka tu kumfikisha hospital.
Kwakujiamini kabisa unadai eti mtu hauwezi kumrudisha mtu alievuta mbona mimi nimeshuhudia sana mambo kama hayo huku kwetu
 
kwanini wakristo mnaogopa sana maiti?
 
Kuna boda boda kitaani kwetu alikaa 3days mortuary kumbe alizimia alipata ajari akazima apo apo madokta kumpima wakasema mpelekeni mortuary tayari ameshakufa watu tafuta weee olaa ..jamaa akashtuka baada ya kusikia kitu kama kina mchoma choma kumbe ni baridi la mule kwenye makabati yao si ndio akaanza kupiga kelele jamaa wa mortuary ikabidi afungue ndio anakutana na mwana anapiga kelele[emoji23][emoji23]
 
Kisa kilitokea hapo MNH wiki mbili zimepita, ila ngoja kwanza. Hii ni nchi iliyooza, amini nakuambia taasisi nyingi za kiserikali zimeoza, usipokuwa makini unaweza kukatwa hata bandama lako ambalo ni zima kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…