denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Salaam,
Nimeona taarifa mtandaoni kwamba timu inayoshika mkia kwenye ligi kuu ya soka Afrika Kusini, Marumo Gallants, ndio vinara wa kundi lake kwenye CAFCC nikachoka kabisa.
Hapa sitaki kusikia zile kelele za ligi ya Afrika Kusini ni bora au vinginevyo, muhimu hapa timu inayokamata mkia kwenye ligi yake ya nyumbani, ndio inaongoza kundi, tujiulize, vipi hapa kwetu?
Jamaa zetu ambao wanajisifu ni mabingwa wa ligi yetu, nao wanatamba mitaani kuongoza kundi kule ambapo hata anayekamata nafasi ya mwisho kwenye ligi yake amefanikiwa kuongoza kundi lake, hivi hii ni akili au matope?
Wakati yule aliyemaliza nafasi ya pili kwenye ligi yetu ya ndani, yeye yupo Klabu Bingwa Afrika na amefuzu hatua ya robo fainali, nasisitiza heshima lazima iwepo kwa mnyama mkali wa mwituni.
Makofi matatu kwa Simba SC tafadhali[emoji1319][emoji1319][emoji1319] huku nyie utopolo [emoji2958][emoji2958][emoji2958]
View attachment 2577084