Hakika, Kombe la Shirikisho barani Afrika mwaka huu halina viwango

Hakika, Kombe la Shirikisho barani Afrika mwaka huu halina viwango

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Salaam,

Nimeona taarifa mtandaoni kwamba timu inayoshika mkia kwenye ligi kuu ya soka Afrika Kusini, Marumo Gallants, ndio vinara wa kundi lake kwenye CAFCC nikachoka kabisa.

Hapa sitaki kusikia zile kelele za ligi ya Afrika Kusini ni bora au vinginevyo, muhimu hapa timu inayokamata mkia kwenye ligi yake ya nyumbani, ndio inaongoza kundi, tujiulize, vipi hapa kwetu?

Jamaa zetu ambao wanajisifu ni mabingwa wa ligi yetu, nao wanatamba mitaani kuongoza kundi kule ambapo hata anayekamata nafasi ya mwisho kwenye ligi yake amefanikiwa kuongoza kundi lake, hivi hii ni akili au matope?

Wakati yule aliyemaliza nafasi ya pili kwenye ligi yetu ya ndani, yeye yupo Klabu Bingwa Afrika na amefuzu hatua ya robo fainali, nasisitiza heshima lazima iwepo kwa mnyama mkali wa mwituni.

Makofi matatu kwa Simba SC tafadhali[emoji1319][emoji1319][emoji1319] huku nyie utopolo [emoji2958][emoji2958][emoji2958]
View attachment 2577084
 
Wale nitakaowakera kwa hiyo taarifa mniwie radhi tafadhali, mimi sijazoea unafiki au kupambwa kwa sifa za kijinga.

Hapo ikumbukwe, timu iliyomaliza nafasi ya pili kwenye kundi aliloongoza looser Marumo Gallants, USM Alger, ndio inaweza kupangwa leo na ma looser toka Tanzania walioongoza kundi la vibonde wenzao, na sitashangaa ikitokea utopolo wametolewa na looser watoto.
 
huku tunachukua kombe hatutakagi mambo za robo sisi,sasa tukishabeba sio wewe tena ni CAF ndo wanaojua watuweke wapi kwenye rank zao nyuma ya al ahly au top...WE UTABAKI HAPO NA ROBO YAKO MPK JUDGMENT DAY
Hizi ndoto za utopolo huwa napenda sana kuzisoma[emoji1787][emoji1787]
 
Hii hapa👇🏻👇🏻👇🏻 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • IMG-20230404-WA0060.jpg
    IMG-20230404-WA0060.jpg
    62.6 KB · Views: 1
utopolo huwa tunaota ndoto halafu tukiamka tunazifanyia kazi ili zitimie,ila madunduka mnaotaga ndoto mkiamka mnaacha ndoto zenu mnaangaika na Yanga
Una mwandiko mzuri, nyie mliota kuwa looser mkawa ma looser kweli🫣🫣
 
Back
Top Bottom