Hili nalo neno. Wananchi tunatakiwa kumpambania huyu jamaa. Kwa sababu ana tofauti kubwa sana na wapinzani wote waliowahi kupambana na CCM.Bila support ya Raia Hilo haliwezekan
Raia wenyewe maiti.Bila support ya Raia Hilo haliwezekan
HakikaAmani muswano mtanzania.
Katika jambo nililojiuliza ni moja, kwa nini Lissu?.
Nimepitia mijadala mingi na kujipa jibu, kwamba kumbe hatukuwahi kuwa na kiongozi wa kisiasa anayetaka kuiondoa CCM kiringeni.
Wote hawa ni sinema tu.
Siku Lissu alipovaa jacket la kuzuia risasi nikaelewa, siku Lissu anasema sipambani na mbwa nitapambana na mwenye mbwa nikaelewa.
Sasa basi, CCM wamepima maji kutokana na siasa za maji taka na katiba kuwa bin dhoofu wakaona isiwe taabu, huyu anaweza kuchukua nchi kweli maana kadhamilia, wakamkaba.
Inshort; Lissu ndiye mpinzani wa kweli kwa sasa na hakuna mwingine.
Amani muswano mtanzania.

Ni kazi ngumu sana kuiua maiti inayotembea ,CCM wanajisumbua tu Lisu ni sawa na kivuli ,huwezi kupambana nacho ukashindaNchi nzima tangu uhuru hakuna mpinzani kama Lissu. Hajawahi kutokea. Chadema ikifa itadhibitisha nchi nzima mpinzani alikuwa ni Lissu.
Nashauri akubali mashataka ya kusingiziwa, ahukumiwe kunyongwa, anyongwe afe, damu yake ibaki kama shamba darasa la KUJIFUNZA nini maana ya mtu KUWA mpinzani. Kwake hii kazi ni rahisi maana alishawahi kufa akafufuka.