mti wa bib
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 138
- 120
Kwa aina ya wachezaji nilio waona wa Nkana na Simba wakajidanganya wakaipeleka mechi Uwanja mkubwa wa taifa, Simba watapigwa 3 au 4 bila wasiwasi bora mechi ipelekwe shamba la bibi au Kilumba . Uwanja mdogo utawasaidia Simba kwenye kuwazuia Nkana.Wale Nkana wote wana kasi ya umeme. Sasa kwa uwanja kama kwa Mchina ni hatari, hatari sana.Hawa hata bila mvuaaa hapa wataukalia mkavu mkavuuu,
Kwanza kiwanja Chao ni kidogo Sana kama cha shule ya msingi!
Tukutane Kwa mchina!
Hujui Simba hii, karibu Kwa mchina, nitakukumbusha Jumapili.Kwa aina ya wachezaji nilio waona wa Nkana na Simba wakajidanganya wakaipeleka mechi Uwanja mkubwa wa taifa, Simba watapigwa 3 au 4 bila wasiwasi bora mechi ipelekwe shamba la bibi au Kilumba . Uwanja mdogo utawasaidia Simba kwenye kuwazuia Nkana.Wale Nkana wote wana kasi ya umeme. Sasa kwa uwanja kama kwa Mchina ni hatari, hatari sana.