Hakika mungu yupo upande wetu.

Hakika mungu yupo upande wetu.

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Kwa kwel nkana lazima watoke tu hakuna jinsi japo nimeona wanajipa moyo kuwa hatakuja kutufanya kaz dar esalam.Nkana Leo wamepoteza nafas nyingi za kutufunga na leo timu ya simba wamecheza Mpira kwa kutetemeka sana lkn cha kushangaza nkana wanapata mabao mawili
.nkana siwafichi nawambia ukwel tyr mmetoka na Siku ya marudiano tutaruhusu kwanza mvua ndipo tuwauwe kifo cha mende...
 
Hawa hata bila mvuaaa hapa wataukalia mkavu mkavuuu,

Kwanza kiwanja Chao ni kidogo Sana kama cha shule ya msingi!

Tukutane Kwa mchina!
 
Hawa hata bila mvuaaa hapa wataukalia mkavu mkavuuu,

Kwanza kiwanja Chao ni kidogo Sana kama cha shule ya msingi!

Tukutane Kwa mchina!
Kwa aina ya wachezaji nilio waona wa Nkana na Simba wakajidanganya wakaipeleka mechi Uwanja mkubwa wa taifa, Simba watapigwa 3 au 4 bila wasiwasi bora mechi ipelekwe shamba la bibi au Kilumba . Uwanja mdogo utawasaidia Simba kwenye kuwazuia Nkana.Wale Nkana wote wana kasi ya umeme. Sasa kwa uwanja kama kwa Mchina ni hatari, hatari sana.
 
Muda mwingine lawama nampa kocha,mechi kama ya jana hakukuwa na sababu ya kuweka foward 3. Palitakiwa kujaza viungo. Nkana ya kawaida sana
 
Unadhani wali kwa kwenye sinia hamshibi hadi mpewe dish? [emoji2]
Nkana akija Uwanja mzuri ana uwezo wa kuwatia goli.
Hata LIBOLO FC ya Angola aliwatoa hivi hivi mkiwa hamuamini.
 
Kwa aina ya wachezaji nilio waona wa Nkana na Simba wakajidanganya wakaipeleka mechi Uwanja mkubwa wa taifa, Simba watapigwa 3 au 4 bila wasiwasi bora mechi ipelekwe shamba la bibi au Kilumba . Uwanja mdogo utawasaidia Simba kwenye kuwazuia Nkana.Wale Nkana wote wana kasi ya umeme. Sasa kwa uwanja kama kwa Mchina ni hatari, hatari sana.
Hujui Simba hii, karibu Kwa mchina, nitakukumbusha Jumapili.
 
In fact Simba Jana hawakufungulia turbo! Shughuli itakuwepo kwenye marudiano..Najua haitakua game rahisi
 
Ndala wanaongea kishabiki tu! Na wanajua wazi safari ya nkana imeshafika mwisho. Nkana tunajuana kwa vilemba, ni kwamba alikuwa akitupiga kwao bila majibu na sisi tunampa za mbavu bila majibu mfano ile ya kwao tulichzea 4-0 na wao wakechezea kwetu 3-0. Sasa kwa bahati mbaya wamebugi kuruhusu sisi kudumbukiza kimoja hiyo ni ahueni sana kwetu
 
Back
Top Bottom