Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Ndo maana uliambiwa ishi nayo kwa hekima,.. Sasa ngoja uingie kweny ndoa majibu yote utayapata,
Mpende Mke/ Mpenzi wako kwa kiasi tu...ukimpenda kupita kiasi utakuja juta siku 1.

Hata wao wapo sensitive kutotupenda sisi wanaume kupita kiasi.

Mungu ndio wa kupendwa kupita kiasi.
 
Aisee mi nnawivu sana! Na ambae atakuwa mke wangu ajipange! Acha niwe dhaifu tu mkuu!
 
Wivu sunna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpende Mke/ Mpenzi wako kwa kiasi tu...ukimpenda kupita kiasi utakuja juta siku 1.

Hata wao wapo sensitive kutotupenda sisi wanaume kupita kiasi.

Mungu ndio wa kupendwa kupita kiasi.

Ndo ayo nayosema mkuu,..
 
Kila Mtu angependa kutumia kondomu akiwemo mkeo maana anajua sana faida zake ila tunashindwaga tu mkuu
 
Hujawahi kupenda. Ukute huyo mke ulonaye alikutongoza wewe.
 
Ni kweli huwezi kuujua wema kama si mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada atakuwa hata kuoa hajaoa,anatembea tu na magwangala na wake za watu ndo anatangaza ushujaa tu hapa.
 
Hupaswi kuumia roho kwajili ya Mwanamke aliyeamua kufanya yake akiwa Timamu.

Umia roho kwasababu ya Umasikini na ukosefu wa pesa.

Point.
Kati yetu na nyinyi wanaume inaonekana nyinyi mnaumiaga zaidi mkigongewa.
 
Ukitaka kujua kama bikra ni muhimu kiasi hicho hebu jaribu kumuuliza mzazi wako nani alimtoa bikra.
 
Mtoa mada atakuwa hata kuoa hajaoa,anatembea tu na magwangala na wake za watu ndo anatangaza ushujaa tu hapa.
Unaweza kuthibitisha hilo...au ni umbea tu umekujaa?
 
Ukitaka kujua kama bikra ni muhimu kiasi hicho hebu jaribu kumuuliza mzazi wako nani alimtoa bikra.
Duuh...mimi siwezi kumuuliza mzazi wangu kitu kama hicho

Wewe uliwezaje kumuuliza hilo swali mpaka ujue kuwa bikra ni ya muhimu kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…