Habarini Wadau,
Hata kama kwenye mapenzi pana wivu:
Huwa ninashangaa sana pale ambapo ninaona wanaume wenzangu wakilia lia na kupata stress au hata Blood Pressure kwasababu ya kuhisi au kuthibitisha kusalitiwa na Mke, Mchumba au Mpenzi.
Yakupasa ujiulize yafuatayo kabla ya kuanza kulialia na kwenda kumshitaki Mkeo popote pale:
1) Je huyo Mpenzi, Mchumba au Mke ulimkuta na Bikira?
2) Wewe Binafsi huna Mchepuko unaomgonga mbali na Mkeo?
Mwanamke unapokuwa na uhusiano au ndoa naye...we mwambie tu maneno machache kuwa...
"Kutoka nje ya Ndoa sio vizuri kwakuwa kuna magonjwa ya zinaa na utashindwa kuitunza familia, pia Uaminifu ni jambo zuri, na akitoka nje atumie Condom..BAAAS.
Suala la kujifanya kumchunga mwanamke, kumfuatilia au kuchunguza simu yake NI USHAMBA NA UJINGA HAKIKA.
SWALI: Unamfuatiliaje mtu mzima mwenye akili zake? unafikiri hataweza kukucheat kwa vyovyote kweli?
Wanaume wa hivyo wanaojidai eti wana wivu...hiyo ni evash vash au emaleesii, yaani Madeko.
Mwanamke alie kwa kusalitiwa na wewe Dume mzima ulie? Shieee !!!
KUWA MWANAUME AISEE......Acha kumchunga mwanamke...muda huo wa kumchunga tumia kwa kutafuta fweza.
Wabillah Tawfiq,