Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Ndo maana uliambiwa ishi nayo kwa hekima,.. Sasa ngoja uingie kweny ndoa majibu yote utayapata,
Mpende Mke/ Mpenzi wako kwa kiasi tu...ukimpenda kupita kiasi utakuja juta siku 1.

Hata wao wapo sensitive kutotupenda sisi wanaume kupita kiasi.

Mungu ndio wa kupendwa kupita kiasi.
 
Aisee mi nnawivu sana! Na ambae atakuwa mke wangu ajipange! Acha niwe dhaifu tu mkuu!
 
Habarini Wadau,

Hata kama kwenye mapenzi pana wivu:

Huwa ninashangaa sana pale ambapo ninaona wanaume wenzangu wakilia lia na kupata stress au hata Blood Pressure kwasababu ya kuhisi au kuthibitisha kusalitiwa na Mke, Mchumba au Mpenzi.

Yakupasa ujiulize yafuatayo kabla ya kuanza kulialia na kwenda kumshitaki Mkeo popote pale:

1) Je huyo Mpenzi, Mchumba au Mke ulimkuta na Bikira?

2) Wewe Binafsi huna Mchepuko unaomgonga mbali na Mkeo?


Mwanamke unapokuwa na uhusiano au ndoa naye...we mwambie tu maneno machache kuwa...

"Kutoka nje ya Ndoa sio vizuri kwakuwa kuna magonjwa ya zinaa na utashindwa kuitunza familia, pia Uaminifu ni jambo zuri, na akitoka nje atumie Condom..BAAAS.

Suala la kujifanya kumchunga mwanamke, kumfuatilia au kuchunguza simu yake NI USHAMBA NA UJINGA HAKIKA.

SWALI: Unamfuatiliaje mtu mzima mwenye akili zake? unafikiri hataweza kukucheat kwa vyovyote kweli?

Wanaume wa hivyo wanaojidai eti wana wivu...hiyo ni evash vash au emaleesii, yaani Madeko.

Mwanamke alie kwa kusalitiwa na wewe Dume mzima ulie? Shieee !!!

KUWA MWANAUME AISEE......Acha kumchunga mwanamke...muda huo wa kumchunga tumia kwa kutafuta fweza.



Wabillah Tawfiq,
Wivu sunna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpende Mke/ Mpenzi wako kwa kiasi tu...ukimpenda kupita kiasi utakuja juta siku 1.

Hata wao wapo sensitive kutotupenda sisi wanaume kupita kiasi.

Mungu ndio wa kupendwa kupita kiasi.

Ndo ayo nayosema mkuu,..
 
Kila Mtu angependa kutumia kondomu akiwemo mkeo maana anajua sana faida zake ila tunashindwaga tu mkuu
 
Hujawahi kupenda. Ukute huyo mke ulonaye alikutongoza wewe.
 
Si katai ila nikukumbushe kitu, kila mtu anajiumbia ulimwengu wake kutokana na mtazamo wake,me bado na amini waaminifu wapo kwasababu naanzia kwenye maisha yangu kama mimi naweza kuwa mwaminifu kwanini wengine wasiwe waaminifu,sasa kwa kuwa wewe uwa unamsaliti mpenzi wako una amini wanawake wote wanafanya hivyo si sawa hata kidogo,uwezi kujua wema kama si mwema na uwezi kujua ubaya kama si mbaya una amini watu si waaminifu kwa sababu wewe si mwaminifu siku ukiwa mwaminifu utawaona waaminifu na wapo wengi sana,ila kwa kuwa uko ulimwengu wa uchafu utaona uchafu tu.
Ni kweli huwezi kuujua wema kama si mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada atakuwa hata kuoa hajaoa,anatembea tu na magwangala na wake za watu ndo anatangaza ushujaa tu hapa.
 
Ukitaka kujua kama bikra ni muhimu kiasi hicho hebu jaribu kumuuliza mzazi wako nani alimtoa bikra.
 
Mtoa mada atakuwa hata kuoa hajaoa,anatembea tu na magwangala na wake za watu ndo anatangaza ushujaa tu hapa.
Unaweza kuthibitisha hilo...au ni umbea tu umekujaa?
 
Ukitaka kujua kama bikra ni muhimu kiasi hicho hebu jaribu kumuuliza mzazi wako nani alimtoa bikra.
Duuh...mimi siwezi kumuuliza mzazi wangu kitu kama hicho

Wewe uliwezaje kumuuliza hilo swali mpaka ujue kuwa bikra ni ya muhimu kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom