Hakika: Mwanaume kuwa na wivu kwa mke/msichana wake ni udhaifu na ujinga

Asikwambie mtu wivu unausika mno kwenye mapenzi ya kweli,ila chuki nayo hudhirika ukiwa na mapenz ya kitapeli! Omba tu Mungu usipate wa kukukolea haki vile utafuta haya maneno.
 
mkuu umeoa, una mchumba au dem mshika kamba...??
 
Wivu kwa unayempenda nilazima kama huna utakuwa hukukamilika kwani wengi wanamatatizo wengine hawasikii harufu yeyote wengine test hawana na wapo ambao hamna wivu niwagonjwa mkatibiwe sio mjisifie
 
Una miaka mingapi? na umekuwa na mahusiano kwa mda gani?
 
Wivu kwa unayempenda nilazima kama huna utakuwa hukukamilika kwani wengi wanamatatizo wengine hawasikii harufu yeyote wengine test hawana na wapo ambao hamna wivu niwagonjwa mkatibiwe sio mjisifie
Kwahiyo unajisifia kuwa na wivu?
 
mdau utakuwa huna mke hivyo nawe ni moja ya wavulana maana wavulana ndio wana vimaneno vya kujipa moyo hivyo..wivu lazima..katika love..!! japo hautakiwi kuvuka mipaka cha msingi uaminifu tu ndio nguzo...ila wuvu muhimu...usijidanganye labda km humpendi
 
Hakuna mapenzi bila wivu...bali usiwe wivu wa kuleta madhara.

The Great Gatsby
 
Wivu wa kikuda haufai kwa Mwanaume,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…