Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujiua ni ujinga bora kuua tu ukafie jeraNdio hivyo...kwahiyo ikitokea utajiua? [emoji23]
Watu wanaoongea hivyo hata kwetu wapo na ndo characteristics zao hizo....usipanic mkuuUnaweza kuthibitisha hilo...au ni umbea tu umekujaa?
Habarini Wadau,
Hata kama kwenye mapenzi pana wivu:
Huwa ninashangaa sana pale ambapo ninaona wanaume wenzangu wakilia lia na kupata stress au hata Blood Pressure kwasababu ya kuhisi au kuthibitisha kusalitiwa na Mke, Mchumba au Mpenzi.
Yakupasa ujiulize yafuatayo kabla ya kuanza kulialia na kwenda kumshitaki Mkeo popote pale:
1) Je huyo Mpenzi, Mchumba au Mke ulimkuta na Bikira?
2) Wewe Binafsi huna Mchepuko unaomgonga mbali na Mkeo?
Mwanamke unapokuwa na uhusiano au ndoa naye...we mwambie tu maneno machache kuwa...
"Kutoka nje ya Ndoa sio vizuri kwakuwa kuna magonjwa ya zinaa na utashindwa kuitunza familia, pia Uaminifu ni jambo zuri, na akitoka nje atumie Condom..BAAAS.
Suala la kujifanya kumchunga mwanamke, kumfuatilia au kuchunguza simu yake NI USHAMBA NA UJINGA HAKIKA.
SWALI: Unamfuatiliaje mtu mzima mwenye akili zake? unafikiri hataweza kukucheat kwa vyovyote kweli?
Wanaume wa hivyo wanaojidai eti wana wivu...hiyo ni evash vash au emaleesii, yaani Madeko.
Mwanamke alie kwa kusalitiwa na wewe Dume mzima ulie? Shieee !!!
KUWA MWANAUME AISEE......Acha kumchunga mwanamke...muda huo wa kumchunga tumia kwa kutafuta fweza.
Wabillah Tawfiq,
Inategemeana ndug yawezakuw n mkeoHupaswi kuumia roho kwajili ya Mwanamke aliyeamua kufanya yake akiwa Timamu.
Umia roho kwasababu ya Umasikini na ukosefu wa pesa.
Kwa hyo we unashaur bora kuachan naeHata kama ni Mkeo.
Utajiumiza bure kwasababu ya Mtu mzima aliyefanya jambo kwa kukusudia kabisa.
Sawa mkuuUsiachane naye mpaka umfumanie
Nashauri usimpende kupita kiasi na pia usimchunge huyo ni mtu mzima.
Akiamua kuchepuka atachepuka tu.
Wivu wa kikuda haufai kwa Mwanaume,mdau utakuwa huna mke hivyo nawe ni moja ya wavulana maana wavulana ndio wana vimaneno vya kujipa moyo hivyo..wivu lazima..katika love..!! japo hautakiwi kuvuka mipaka cha msingi uaminifu tu ndio nguzo...ila wuvu muhimu...usijidanganye labda km humpendi