Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Maofisini ndiyo zilipo ndoa halali. Hiyo yako ni nyumbani wewe na mkeo .

Huku ni mke wa wenzako
.

Ndio maana Nchi yetu haipigi hatua kwa sababu kuna baadhi ya viongozi sio waadilifu.

Kama kiongozi aliye teuliwa anaweza kuisaliti ndoa yake kwa kufanya uzinzi, je unadhani kweli mtu huyo anaweza kufanya uadilifu?!!!
Binafsi kiongozi mzinzi/msaliti siwezi mwamini kamwe.
 
Endelea kujifariji na pole sana mkuu
 
Mnaambiwa mtafute wanawake wa kuoa, ninyi mnaenda kutafuta Malaya na kuwaoa, yakiwapata ya kuwapateni mnakimbia mbio kuanza kulalamika na kutukana wanawake.
Mkitaka kuoa tengeni muda wanawake wa kuoa ili kuepuka kuoa malaya. Wanawake ni wachache sana, katika kila wanawake 10 kuna Malaya 8? Unadhani ni rahisi kuwapata hao wawili?
 
kataa ndoa wanazidi kupata point
Ni hivi. demu popote alipo anapigwa tu
nishaona demu anapigwa kwenye gari la abiria na ni mke wa mtu
wengine wanapigwA hadi misibani
Ukiamua kuoa, jua hizo risk zipo tu
 
Hapo ujinga tuu siyo kila shimo lazima uingie, kusema no haikupunguzii kitu, sasa wewe hata wakisema unapungukiwa nini?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…