Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Kunyanduana ni Jambo la asiliLakini bora kazini hutochoreka maana hakuna anaekujua kazini kwao kuliko mwanamke golikipa unakuta muuza genge anakutwangia mkeo alafu asubuhi unasalimiana nae "Za Asubuhi" 😁
Acha ujinga tumia akili zako. wewe unalindwa na Mungu wa Israel, Israel inalindwa na mifumo ya kijeshi ya technolojia ya hari ya juu.Shida unakuta mtu umeoa kwa akili zako kwamba nampenda ananipenda Mungu hajahusika then unampelekea Mungu akabariki kumbuka ulikuta kashaliwa yaani shetani ndie aliye Anza Kula tunda.Mfano Mzuri Ni Hawa wa adamu shetani alibandua Kwanza akampata kaini hivo hiyo hali ipo hivo ogopa Sana Hilo. Asilimia kubwa unakuwa umeoa Mwanamke.
Ukitulia ukamwomba Mungu hakika atakupa Mke haswa na siyo mwanamke. Na kila mbanga utajua.
Basi mm nilikuwa huyo wa kuoa MTUMISHI wa umma lakini nilikuwa Nimeokoka nae kabla TU ya kuoa nilikutana na Bwana Yesu. Nikamwambia uhusiano wetu Ni miaka 5 Kama nakuoa Ni Sasa sbb sitaki uzinzi.ni story ndefu ila Baada ya miaka 6 Mambo yakawa magumu.
Nachosema kabla Mungu alinionya nikamtema lakini alikuja analia then tumetoka chuo wote nkasema nisamehe. Bwna Yesu akanambia samehe Kama una amani.ikawa na ikafanyika Bonge ya ndoa.
Nilichofanya Ni kumwambia Mungu siwez kumlinda mke wngu ila pia siwezi kumsaliti,wewe ulie mlinzi uchunguzaye Roho ya Mtu sikutumikii Bure Mimi nataka AMANI na ikiwa atanisariti tengeneza mazingira tuachane siitaki ndoa yenye UCHAFU ndani yake. Kwa hiyo mbanga zote nilikuwa nazipata kupitia Maono na ndoto mi Mtu w kusali. Mimi Ni tofauti na walokole nasema TU mlokole ili nieleweke.
Matukio yote ya kwao kuingilia na yy Hadi kutaka kuvunja ndoa Mungu wangu alikuwa ananipeleka kwenye vikao vyao kwa Roho na mahakimu alowahonga anapowapigia sim Yale maongez usiku nkilala ktk ndoto anakuwa amenipigia Kwanza mm na akipokea yule naanza kusikia maongez na vikao na kesi itaendaje na niliiona kesi mwanzo ila kasoro mwisho kunatukio lilifanyika na Mungu alificha.
Ikumbukwe Ni Mimi ndiye nilimshauri na kumuharakisha afate utaratibu wa kimahakama ili tukimalizana nami NIOE siwez kuwa mzinzi,mwasherati nimehama huko Nisha takaswa,nimeoshwa na nimehesabiwa HAKI NA YESU NA YY ANAJUA.
SO YOTE NILIYOONYESHWA NA BABA YANGU YESU NAE NILIMWAMSHA NIKAMWAMBIA UPENDO NA NI KWA SBB NILIIJUA KESHO YAKE KUPITIA KWA MUNGU. yeye Yesu anasema sisi Ni rafaki zake so nliona huruma,nililia,niliomboleza aliniona alinisikia alisema harudi nyuma,nami nikamwambia sikulilii wewe na Lilia nimpendae atakayoyapitia.
Kufupisha TU. Hakukuwa na sbb ya kuvunja ndoa nilimshinda kote ila akahonga na kesi ikanigeukia, HUKUMU IKAWA YA AINA FLAN NLILIA SBB NIMEKHUKUMIWA KWA KITU SIJAWAH KUKIFANYA,KITU AMBACHO NIMEINGIA KWENYE NDOA NAJUA HAWEZI KUNIPA MTOTO KWA WAKATI,KITU AMBACHO NIMEKESHA KANISANI NIKIOMBA KWA AJIR YAKE ASAMEHEWE,AFUNGULIWE HAKIKA CHOZI LILINITOKA NIKASEMA HATA YESU ALIHUKUMIWA HANA HATIA NA AKASEMA MTAKINYWEA.
KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NILIWEZA KUTAMBUA MAWAZO YA MAKALANI WA MAHAKAMA KUWA NDOA ISIVUNJWE HAKUNA SBB.
NIKAENDA KANISANI NIKAMSHUKURU MUNGU NIKAOMBA NGUVU,NIKAOMBA HATUA MPYA,MAISHA YAKAENDELEA NAVO ANDIKA MKE WANGU MPYA AMELALA PEMBENI YANGU,KAZI ZETU NI WAFUGAJI NA WAKULIMA NA TUNASALI PAMOJA,
MPENDE MUNGU ATAKUSHANGAZA JINA LAKE YESU.NIMEFUPISHA SANA.
YAANI MUNGU HUYU. ALICHOKIFANYA NI KUNILETEA KTK NDOTO MTU MWINGINE ANA MBUSU MKE WANGU SHAVUNI[emoji848] BUSU NI UPENDO NA BUSU NI USALITI
YUDA ALIMBUSU YESU.YAANI HUHITAJI NGUVU WALA GHARAMA ILA GHARAMA YAKO ACHA MAOVU ,UZINZI,UASHERATI NA VYOTE MSIKIZE MUNGU ANATAKA NN ATAKULINDA.
Bible ipo kimwili(Andiko) ili uielewe Mambo ya roho lazima uijue vizur na mifano. Israel sio kule Bali Ni Mtu yeyote aliempokea Yesu amefanyika taifa takatifu la Mungu. Hapa Tanzania na kila nchi kunae sodoma na gomora. Ilikuwa lazima iwepo ili ujue. Watu wanafirana hata hapo kwenye ukoo wako yamkini wapo Ni Siri utatambua kwa Neno la Mungu na si Andiko ili uombe laana isiwafate wazaz wako. Sasa nalindwa na Yesu na Yesu ndie Mungu,na yy Ni wa wote. Hivyo mjinga Ni wewe unaedhani kila kitu unakijuaAcha ujinga tumia akili zako. wewe unalindwa na Mungu wa Israel, Israel inalindwa na mifumo ya kijeshi ya technolojia ya hari ya juu.
Acha kudumaza akili zenu.
Hicho kitabu kina story kama za shigongo.Bible ipo kimwili(Andiko) ili uielewe Mambo ya roho lazima uijue vizur na mifano. Israel sio kule Bali Ni Mtu yeyote aliempokea Yesu amefanyika taifa takatifu la Mungu. Hapa Tanzania na kila nchi kunae sodoma na gomora. Ilikuwa lazima iwepo ili ujue. Watu wanafirana hata hapo kwenye ukoo wako yamkini wapo Ni Siri utatambua kwa Neno la Mungu na si Andiko ili uombe laana isiwafate wazaz wako. Sasa nalindwa na Yesu na Yesu ndie Mungu,na yy Ni wa wote. Hivyo mjinga Ni wewe unaedhani kila kitu unakijua
Asante MtumishiShida unakuta mtu umeoa kwa akili zako kwamba nampenda ananipenda Mungu hajahusika then unampelekea Mungu akabariki kumbuka ulikuta kashaliwa yaani shetani ndie aliye Anza Kula tunda.Mfano Mzuri Ni Hawa wa adamu shetani alibandua Kwanza akampata kaini hivo hiyo hali ipo hivo ogopa Sana Hilo. Asilimia kubwa unakuwa umeoa Mwanamke.
Ukitulia ukamwomba Mungu hakika atakupa Mke haswa na siyo mwanamke. Na kila mbanga utajua.
Basi mm nilikuwa huyo wa kuoa MTUMISHI wa umma lakini nilikuwa Nimeokoka nae kabla TU ya kuoa nilikutana na Bwana Yesu. Nikamwambia uhusiano wetu Ni miaka 5 Kama nakuoa Ni Sasa sbb sitaki uzinzi.ni story ndefu ila Baada ya miaka 6 Mambo yakawa magumu.
Nachosema kabla Mungu alinionya nikamtema lakini alikuja analia then tumetoka chuo wote nkasema nisamehe. Bwna Yesu akanambia samehe Kama una amani.ikawa na ikafanyika Bonge ya ndoa.
Nilichofanya Ni kumwambia Mungu siwez kumlinda mke wngu ila pia siwezi kumsaliti,wewe ulie mlinzi uchunguzaye Roho ya Mtu sikutumikii Bure Mimi nataka AMANI na ikiwa atanisariti tengeneza mazingira tuachane siitaki ndoa yenye UCHAFU ndani yake. Kwa hiyo mbanga zote nilikuwa nazipata kupitia Maono na ndoto mi Mtu w kusali. Mimi Ni tofauti na walokole nasema TU mlokole ili nieleweke.
Matukio yote ya kwao kuingilia na yy Hadi kutaka kuvunja ndoa Mungu wangu alikuwa ananipeleka kwenye vikao vyao kwa Roho na mahakimu alowahonga anapowapigia sim Yale maongez usiku nkilala ktk ndoto anakuwa amenipigia Kwanza mm na akipokea yule naanza kusikia maongez na vikao na kesi itaendaje na niliiona kesi mwanzo ila kasoro mwisho kunatukio lilifanyika na Mungu alificha.
Ikumbukwe Ni Mimi ndiye nilimshauri na kumuharakisha afate utaratibu wa kimahakama ili tukimalizana nami NIOE siwez kuwa mzinzi,mwasherati nimehama huko Nisha takaswa,nimeoshwa na nimehesabiwa HAKI NA YESU NA YY ANAJUA.
SO YOTE NILIYOONYESHWA NA BABA YANGU YESU NAE NILIMWAMSHA NIKAMWAMBIA UPENDO NA NI KWA SBB NILIIJUA KESHO YAKE KUPITIA KWA MUNGU. yeye Yesu anasema sisi Ni rafaki zake so nliona huruma,nililia,niliomboleza aliniona alinisikia alisema harudi nyuma,nami nikamwambia sikulilii wewe na Lilia nimpendae atakayoyapitia.
Kufupisha TU. Hakukuwa na sbb ya kuvunja ndoa nilimshinda kote ila akahonga na kesi ikanigeukia, HUKUMU IKAWA YA AINA FLAN NLILIA SBB NIMEKHUKUMIWA KWA KITU SIJAWAH KUKIFANYA,KITU AMBACHO NIMEINGIA KWENYE NDOA NAJUA HAWEZI KUNIPA MTOTO KWA WAKATI,KITU AMBACHO NIMEKESHA KANISANI NIKIOMBA KWA AJIR YAKE ASAMEHEWE,AFUNGULIWE HAKIKA CHOZI LILINITOKA NIKASEMA HATA YESU ALIHUKUMIWA HANA HATIA NA AKASEMA MTAKINYWEA.
KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NILIWEZA KUTAMBUA MAWAZO YA MAKALANI WA MAHAKAMA KUWA NDOA ISIVUNJWE HAKUNA SBB.
NIKAENDA KANISANI NIKAMSHUKURU MUNGU NIKAOMBA NGUVU,NIKAOMBA HATUA MPYA,MAISHA YAKAENDELEA NAVO ANDIKA MKE WANGU MPYA AMELALA PEMBENI YANGU,KAZI ZETU NI WAFUGAJI NA WAKULIMA NA TUNASALI PAMOJA,
MPENDE MUNGU ATAKUSHANGAZA JINA LAKE YESU.NIMEFUPISHA SANA.
YAANI MUNGU HUYU. ALICHOKIFANYA NI KUNILETEA KTK NDOTO MTU MWINGINE ANA MBUSU MKE WANGU SHAVUNI[emoji848] BUSU NI UPENDO NA BUSU NI USALITI
YUDA ALIMBUSU YESU.YAANI HUHITAJI NGUVU WALA GHARAMA ILA GHARAMA YAKO ACHA MAOVU ,UZINZI,UASHERATI NA VYOTE MSIKIZE MUNGU ANATAKA NN ATAKULINDA.
Na Papa analindwa na Swiss guard.Acha ujinga tumia akili zako. wewe unalindwa na Mungu wa Israel, Israel inalindwa na mifumo ya kijeshi ya technolojia ya hari ya juu.
Acha kudumaza akili zenu.
Mtoa post kasema sahihi, na inauma sana ukizingatia kuwa we kidume ulifanyishwa upuuzi wa kutoa mahari, ukaalika na raia shazi kuwaweka wazi kuwa umepata mwenza, watu wakaserebuka, shangwe juu ya shangwe!Lakini bora kazini hutochoreka maana hakuna anaekujua kazini kwao kuliko mwanamke golikipa unakuta muuza genge anakutwangia mkeo alafu asubuhi unasalimiana nae "Za Asubuhi" 😁
Uzi upo wapi?Kuna Jamaa alishawahi kuleta ushuhuda humu JF kwamba kuna siku alisahau funguo yake ya mlango ikabidi aende Kazini kwa Mkewe kufuata funguo maana waligawana funguo.
Jamaa anasema ile anafika pale anamuona Mkewe anamtegea tako Mwanaume ambaye ni Mfanyakazi mwenzie alafu yule Mwanaume anapiga tako kwa mkono wake, hii ni changamoto sana kwenye ndoa zetu.
imetosha kujua mkeo ni mfanyakazi brooLakini bora kazini hutochoreka maana hakuna anaekujua kazini kwao kuliko mwanamke golikipa unakuta muuza genge anakutwangia mkeo alafu asubuhi unasalimiana nae "Za Asubuhi" 😁
Nyie MAFISI endelee tu! Siku mkufumuliwa MARINDA ndio mtakujuwa mpili pili na maua yake!Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu
Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao
Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake
Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.
Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa
Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale
Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa
Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa
Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako
Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake
Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini
Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.
Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha