Shida unakuta mtu umeoa kwa akili zako kwamba nampenda ananipenda Mungu hajahusika then unampelekea Mungu akabariki kumbuka ulikuta kashaliwa yaani shetani ndie aliye Anza Kula tunda.Mfano Mzuri Ni Hawa wa adamu shetani alibandua Kwanza akampata kaini hivo hiyo hali ipo hivo ogopa Sana Hilo. Asilimia kubwa unakuwa umeoa Mwanamke.
Ukitulia ukamwomba Mungu hakika atakupa Mke haswa na siyo mwanamke. Na kila mbanga utajua.
Basi mm nilikuwa huyo wa kuoa MTUMISHI wa umma lakini nilikuwa Nimeokoka nae kabla TU ya kuoa nilikutana na Bwana Yesu. Nikamwambia uhusiano wetu Ni miaka 5 Kama nakuoa Ni Sasa sbb sitaki uzinzi.ni story ndefu ila Baada ya miaka 6 Mambo yakawa magumu.
Nachosema kabla Mungu alinionya nikamtema lakini alikuja analia then tumetoka chuo wote nkasema nisamehe. Bwna Yesu akanambia samehe Kama una amani.ikawa na ikafanyika Bonge ya ndoa.
Nilichofanya Ni kumwambia Mungu siwez kumlinda mke wngu ila pia siwezi kumsaliti,wewe ulie mlinzi uchunguzaye Roho ya Mtu sikutumikii Bure Mimi nataka AMANI na ikiwa atanisariti tengeneza mazingira tuachane siitaki ndoa yenye UCHAFU ndani yake. Kwa hiyo mbanga zote nilikuwa nazipata kupitia Maono na ndoto mi Mtu w kusali. Mimi Ni tofauti na walokole nasema TU mlokole ili nieleweke.
Matukio yote ya kwao kuingilia na yy Hadi kutaka kuvunja ndoa Mungu wangu alikuwa ananipeleka kwenye vikao vyao kwa Roho na mahakimu alowahonga anapowapigia sim Yale maongez usiku nkilala ktk ndoto anakuwa amenipigia Kwanza mm na akipokea yule naanza kusikia maongez na vikao na kesi itaendaje na niliiona kesi mwanzo ila kasoro mwisho kunatukio lilifanyika na Mungu alificha.
Ikumbukwe Ni Mimi ndiye nilimshauri na kumuharakisha afate utaratibu wa kimahakama ili tukimalizana nami NIOE siwez kuwa mzinzi,mwasherati nimehama huko Nisha takaswa,nimeoshwa na nimehesabiwa HAKI NA YESU NA YY ANAJUA.
SO YOTE NILIYOONYESHWA NA BABA YANGU YESU NAE NILIMWAMSHA NIKAMWAMBIA UPENDO NA NI KWA SBB NILIIJUA KESHO YAKE KUPITIA KWA MUNGU. yeye Yesu anasema sisi Ni rafaki zake so nliona huruma,nililia,niliomboleza aliniona alinisikia alisema harudi nyuma,nami nikamwambia sikulilii wewe na Lilia nimpendae atakayoyapitia.
Kufupisha TU. Hakukuwa na sbb ya kuvunja ndoa nilimshinda kote ila akahonga na kesi ikanigeukia, HUKUMU IKAWA YA AINA FLAN NLILIA SBB NIMEKHUKUMIWA KWA KITU SIJAWAH KUKIFANYA,KITU AMBACHO NIMEINGIA KWENYE NDOA NAJUA HAWEZI KUNIPA MTOTO KWA WAKATI,KITU AMBACHO NIMEKESHA KANISANI NIKIOMBA KWA AJIR YAKE ASAMEHEWE,AFUNGULIWE HAKIKA CHOZI LILINITOKA NIKASEMA HATA YESU ALIHUKUMIWA HANA HATIA NA AKASEMA MTAKINYWEA.
KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NILIWEZA KUTAMBUA MAWAZO YA MAKALANI WA MAHAKAMA KUWA NDOA ISIVUNJWE HAKUNA SBB.
NIKAENDA KANISANI NIKAMSHUKURU MUNGU NIKAOMBA NGUVU,NIKAOMBA HATUA MPYA,MAISHA YAKAENDELEA NAVO ANDIKA MKE WANGU MPYA AMELALA PEMBENI YANGU,KAZI ZETU NI WAFUGAJI NA WAKULIMA NA TUNASALI PAMOJA,
MPENDE MUNGU ATAKUSHANGAZA JINA LAKE YESU.NIMEFUPISHA SANA.
YAANI MUNGU HUYU. ALICHOKIFANYA NI KUNILETEA KTK NDOTO MTU MWINGINE ANA MBUSU MKE WANGU SHAVUNI[emoji848] BUSU NI UPENDO NA BUSU NI USALITI
YUDA ALIMBUSU YESU.YAANI HUHITAJI NGUVU WALA GHARAMA ILA GHARAMA YAKO ACHA MAOVU ,UZINZI,UASHERATI NA VYOTE MSIKIZE MUNGU ANATAKA NN ATAKULINDA.