Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Mwanamke anakua mrahisi kwa mtu anaeshinda nae muda mwingi haijalishi pesa ipo au sura ngumu ila ukizoeana tu na mwanamke asilimia za kumla ni 90%
Kwaiyo mtoa uzi yupo sahihi mfano mimi sina mvuto kwa wanawake yani nikipita apo akuna mwanamke anaweza shtuka ila wale niliozoeana nao wote nishatafunatafuna, kwaiyo uko maofisini mabalaa lazima yawepo tu akuna namna chamsingi kumbushaneni kujilinda na maradhi tu mwanamke ukimpa time yakutosha anavua chupi tu hata kwenye utani

Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
 
unachokisema n kweli mzee , huku ofisn nmeshuhudia boss wangu anamla mke wa mtu bila uoga, Tena haend hata lodge au hotel humo humo ofisn kwetu, naishia kufunga Domo langu tu ili nitetee ugali wangu , Tena sio mke wa mtu mmoja n Zaid ya wawili Hadi ikafika hatua wake za watu wanagombana kisa boss, yaan n maumivu wakuu acha tu [emoji16][emoji16]
 
Ni ofisi binafsi au ya umma?
 
Eti kuna wanaume wamekubali kuwa mabwege ili mradi maisha yasonge,
wanachapiwa wanakausha mi ni bora nife mseja kuliko kuja kuuwa toto la mtu, kwa sababu hakuna mwanamke mzuri aliyewahi kunizuzua wote naonaga mafamba tu tabia na haiba ndo zitanivutia ila sio sura wala tako
 
Kuna wauza nyanya wanakula wake za watu kwa nyongeza ya nyanya moja tu tena masalo,kuna wauza duka nyongeza kidogo ya mafuta ya kula anakula mke wa mtu,kuna wauza mkaa nyongeza kidogo ya mkaa anajipigia mke wa mtu,bado kuna bodaboda,wauza mboga za majani nk.

Hivi vitu kumuomba Mungu upate mke anaye kupenda na mwenye hofu ya Mungu, la sivyo awe mwajiriwa au mama wa nyumbani ,kama akiwa anatamaa,hana akili wala hofu ya Mungu watamla tu.
 
Kukulana ofisini siku hizi ndio style mpya. Bosi anaminyaminya tako. Akilipenda tako, anasogeza mafaili na laptop kidogo. Mtu analiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…