Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Rafiki wewe unaonaje?
Mkuu, umesema kugawa ni tabia ya mtu.
Nina swali, je kama ofisini mtu anataitiwa agawe ili apate posho au safari, huo ni ugawaji wa kitabia au mazingira yanamlazimu agawe ili afaidike kiuchumi?

Pia nina swali dogo la nyongeza, kama mwanamke/binti ni mzuri sana ama mweupe, au ana tako kubwa, watu wengi mno wanamfuata kwa pesa na mbinu mbalimbali na akagawa, hapo ni ugawaji wa kitabia au mazingira ya utongozwaji yamemlemea kutokana na urembo wake?
 
Kuna wauza nyanya wanakula wake za watu kwa nyongeza ya nyanya moja tu tena masalo,kuna wauza duka nyongeza kidogo ya mafuta ya kula anakula mke wa mtu,kuna wauza mkaa nyongeza kidogo ya mkaa anajipigia mke wa mtu,bado kuna bodaboda,wauza mboga za majani nk.

Hivi vitu kumuomba Mungu upate mke anaye kupenda na mwenye hofu ya Mungu, la sivyo awe mwajiriwa au mama wa nyumbani ,kama akiwa anatamaa,hana akili wala hofu ya Mungu watamla tu.
Ni kweli Mkuu, ingawa ujumbe upo kinyonge sana, yaani wa kukata tamaa!
 
Kuna Jamaa alishawahi kuleta ushuhuda humu JF kwamba kuna siku alisahau funguo yake ya mlango ikabidi aende Kazini kwa Mkewe kufuata funguo maana waligawana funguo.

Jamaa anasema ile anafika pale anamuona Mkewe anamtegea tako Mwanaume ambaye ni Mfanyakazi mwenzie alafu yule Mwanaume anapiga tako kwa mkono wake, hii ni changamoto sana kwenye ndoa zetu.
Daaaah
 
Noma sana 🤣
 
Mkuu, umesema kugawa ni tabia ya mtu.
Nina swali, je kama ofisini mtu anataitiwa agawe ili apate posho au safari, huo ni ugawaji wa kitabia au mazingira yanamlazimu agawe ili afaidike kiuchumi?

Pia nina swali dogo la nyongeza, kama mwanamke/binti ni mzuri sana ama mweupe, au ana tako kubwa, watu wengi mno wanamfuata kwa pesa na mbinu mbalimbali na akagawa, hapo ni ugawaji wa kitabia au mazingira ya utongozwaji yamemlemea kutokana na urembo wake?
Ni yale yale tu mazingira humshape mtu tabia. Huyo wa kazini ina mana wakati ujao hiyo ofa ili aipate tena atakigawa na muendelezo utakua ni huo huo. Na huyo binti mrembo akikutana na wenye pesa zaidi atakigawa tena. Ni tabia, wangeweza kukataa.
 
Kuna Jamaa alishawahi kuleta ushuhuda humu JF kwamba kuna siku alisahau funguo yake ya mlango ikabidi aende Kazini kwa Mkewe kufuata funguo maana waligawana funguo.

Jamaa anasema ile anafika pale anamuona Mkewe anamtegea tako Mwanaume ambaye ni Mfanyakazi mwenzie alafu yule Mwanaume anapiga tako kwa mkono wake, hii ni changamoto sana kwenye ndoa zetu.
Duuu! Atakuwa alianzisha valangati balaa
 
Nadhani ni tabia ya mtu binafsi, usiweke wanawake wote kwenye kundi moja.
Wahenga walishasema samaki mmoja akioza ni wote. Hawa wanawake waliooza ndiyo hawa hawa wanao wasukumizia na kuwashauri wanawake ambao hawajaoza wawe na mabwana wa makazini na hawaruki hakika wanakubali wakiona ndiyo maisha

Fatilia utakuja kujua
 
Back
Top Bottom