Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Ndio mana mnashauriwa achen kuokoteza wanawake masikininwasio na mbele wala nyuma
 
Mkuu hapa kikubwa ni kuwa binadamu wa sasa hatuna uaminifu maana huwezi mlaumu mwanamke peke yake. Hata hao wanaume wanao toka nao pia wanaweza kuwa waume za watu
1: Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

2: Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja

3: Mwanaume haziniye na mwanamke hana akili kabisa

Nb. Jiulize kwanini namba 1, 2 nime zibold
 
Poleni sana vijana. Hivi wanawake wa aina hiyo huwa mnakutana nao wapi?
 
Acha hizo wewe...!
 
Ni umasikini wa kipato ila mke anapaswa kua wa nyumbani wana roho nyepesi......napenda sanaa tabia za waislamu wengi wanao kataza wake zao kufanya kazi za kuajiriwa heshima ya mwanamke ni kulea mme na watoto.
 
Nimesoma kwa kurudia huu uzi, kwa namna umeandika ni kama kuna couple moja hapo ofisini kwako ume/unaifatilia kwa ukaribu sana na inakukwaza sana kutokana na tittle walizonazo wahusika (mke/mme wa mtu).

Ndugu yangu upo sahihi, na vyema umeleta huu ujumbe JF sehemu ilio na waungwana wengi ambao wana ndoa zao. Hii walau itakumbusha wanandoa wenye drama hizi makazini kustuka na ikiwezekana wasitishe kwani partners wao wana clues za nini kinaendelea wawapo maeneo yao ya kazi.

Mwisho: Maliza kwanza ujana , maliza kwanza kula maisha then amua kuoa au kuolewa.
 
Mkeo anadamka alafajiri na mapema hataki hata kukuandalia chai , anaenda bafuni anakua huko anaoga muda mrefu, ana weweseka kwenye kioo akijaribu nguo za hapa na pale, anajipiga manukato isivyo kawaida yani hata ukitoka nae out hawi hivyo smart mwanaume unachekacheka kumbe anamvalia vizuri mume wake wa ofisini ili muda wa lunch apendeze mbele ya mume wake wa ofisini wakati wanaongozana.

Anasifiwa huko , mumewe wa kazini anambinyabinya mataco alafu ana mwambia mwambie mumeo wa ndoa una kazi kibao utachelewa kurudi kumbe anakukazia mkeo juu ya meza za ofisi.

Hakika ni ukweli mchungu sana huu taka msitake inauma sana.
 
Hilo mbona liko wazi.
Ni zawadi ya chupi dozen 1 basi analegea weekend anamwaga mume nakwenda kumalizia viporo kumbe yupo lodge .
Watoto wenu 30 %- 50% ni watoto wetu.
Mkapime DNA kama mnabisha
Sishauri mwanaume mwenye moyo mwepesi kupima DNA kwa usalama wa maisha yake. Ila kama unataka kurisk nenda kapime
 
Jamaa unapiga sana kwenye mishono watu wanaugulia chini kwa chini. Huu ndio ukweli.
 
Hiki kitu kwa kizungu kinaitwa generalization. Ni wale watu wasiojiamini tu na waliopigwa matukio kama wewe, ndiyo wataamini hiki ulichokiandika hapa.
 
Kuoa mwanamke mfanyakazi inahitaji roho ngumu kama wale wanaovaaga mabomu ya kujitoa muhanga.
Mimi siwezi oa mwanamke mfanyakazi hata siku moja, mwanamke anaweza akawa na msimamo lakini mazingira yakamulazimisha kufanya hivyo.
 
Hiki kitu kwa kizungu kinaitwa generalization. Ni wale watu wasiojiamini tu na waliopigwa matukio kama wewe, ndiyo wataamini hiki ulichokiandika hapa.
Silazimishi mtu kuamini maana siyo wote wanaopenda kusikia ukweli. Tatizo watu ni wabishi sana mnapenda kudanganywa na siyo kuambiwa ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…