Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Rafiki wewe unaonaje?
Mkuu, umesema kugawa ni tabia ya mtu.
Nina swali, je kama ofisini mtu anataitiwa agawe ili apate posho au safari, huo ni ugawaji wa kitabia au mazingira yanamlazimu agawe ili afaidike kiuchumi?

Pia nina swali dogo la nyongeza, kama mwanamke/binti ni mzuri sana ama mweupe, au ana tako kubwa, watu wengi mno wanamfuata kwa pesa na mbinu mbalimbali na akagawa, hapo ni ugawaji wa kitabia au mazingira ya utongozwaji yamemlemea kutokana na urembo wake?
 
Ni kweli Mkuu, ingawa ujumbe upo kinyonge sana, yaani wa kukata tamaa!
 
Daaaah
 
Noma sana 🤣
 
Ni yale yale tu mazingira humshape mtu tabia. Huyo wa kazini ina mana wakati ujao hiyo ofa ili aipate tena atakigawa na muendelezo utakua ni huo huo. Na huyo binti mrembo akikutana na wenye pesa zaidi atakigawa tena. Ni tabia, wangeweza kukataa.
 
Duuu! Atakuwa alianzisha valangati balaa
 
Nadhani ni tabia ya mtu binafsi, usiweke wanawake wote kwenye kundi moja.
Wahenga walishasema samaki mmoja akioza ni wote. Hawa wanawake waliooza ndiyo hawa hawa wanao wasukumizia na kuwashauri wanawake ambao hawajaoza wawe na mabwana wa makazini na hawaruki hakika wanakubali wakiona ndiyo maisha

Fatilia utakuja kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…