Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Haswaaaaaah
Hawana bayaaa

Sasa hao wanaume wenyewe hawataki urafiki na mashoga, sasa wafanyaje?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hawataki urafiki ila usiku wapo nao sambamba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawataki urafiki ila usiku wapo nao sambamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtu ukiwaza unachokaa kabisaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtu ukiwaza unachokaa kabisaa.

Sasa najiuliza wamewaita kwa kosa gani niliona fatma karume anasema kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile ndio kosa
 
Ni mjinga sanaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sivutiwi na aina ya comedy anayofanya hasa kwenye uongeaji wake wa kuchanganya lugha ya kiingereza na kiswahili.
Leo nimetumiwa clip ambayo kiukweli sio comedy kabisa na anapaswa kuomba radhi kwa jamii.
Mimi pia huwa sio mshabiki wa maigizo yanayodhalilisha watu, lakini kwa hilo alilolitoa ni la kawaida tu, halidhalilishi. Lakini hapo kabla haujaliweka ulishasema kuwa huwa hauvutiwi na comedy anayofanya, so malalamiko uliyoleta huenda ni mwendelezo wa kutovutiwa kwako na kila afanyacho
 
Kwan kuna cha maana sasa wanataka wakawatishee tyuuh, delicious alitokaje??

Wanataka kuzima kelele za wananchi tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bora sasa hivi wanawaita na walaji mashoga wawe wanataja na wanaolala nao iwe fair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…