Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Jamaa nadhani amejaribu kwenda na trend kama ilivyo kwamba wanaume wamekua wanaongelea sana makario saivi. Kama ni kosa basi sio lake pekeake, ni kwa wanaume wote wanaoshindwa kuwaheshimu wanawake
 
Ajabu ni kwamba wanaofanya huo ushetwani ni wanaume...na nyie ndo mko hapa mnawashangaa... [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Dunia uwanja wa fujo

Kuna watu wanapesa na washavurugwa,sasa wale wenye tamaa ndiyo huingizwa huko
Watu si wanataka kununuliwa magari,kupangishiwa majumba ,safari za dubai +shopping

Ova
 
Dunia uwanja wa fujo

Kuna watu wanapesa na washavurugwa,sasa wale wenye tamaa ndiyo huingizwa huko
Watu si wanataka kununuliwa magari,kupangishiwa majumba ,safari za dubai +shopping

Ova
sasa why wanaume wafanye hivyo kuwashawishi??
 
Back
Top Bottom