Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Macomedian wengi wa Tanzania kama kina Idris, Steve Nyerere na wapuuzi wengine wako very pathetic. Nashangaa kwanini jamii inawabeza, yaani mtu anaongea ujinga na kujicheka mwenyewe bado watu wanamshangilia.
 
Kutuchekesha watu tuna stress zetu ,tumevurugwa mchezo!aongeze bidii
 
Kuna clip moja katoa juz kat apo ana katikia nyimbo ya Diamond [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Tanzania kuna ujinga mwingi sana na muendelezo wa huo ujinga unaletwa na wajinga wanaoendeleza huo ujinga.....
 
Mtoa mada ana wivu chuki na roho mbaya as if kuna mtu amesemwa kwa majina yake au kwa picha
 
Ila ruben ni gay eti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeh mie nilijua tyuuh, si kulitokea ugomvi kule tiktok kuna jamaa nae ni popular, alitongozwa na Ruben ili amle,
Na walikubaliana kwa malipo, sasa kabla ya kufanya utekelezaji wa jambo hilo, waligombana duuu jamaa akamwaga upupu nje, yaan had charts zao, ruben anavojibebisha sasa woiiiiiih.

Hadi ruben alikua analia na alifunga tiktok yake kwa muda, baadae ndo karud tena, but sahiv video zake nyingi anaigiza km fame yaan. Uwiiiiiih

Afu hajar wala nn. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushaona neno Comedy ?

Hii political correctness ikizidi watu tunakuwa kama kifungoni..., Huyo Jamaa simjui wala sijamsikiliza ila sikubaliani na watu kufungwa kauli (tena kauli zenyewe ni utani) eti sijui nani anadhalilishwa.....

Yaani maneno ya mtu huko wewe ndio udhalilike ?, Mbona choices ni nyingi tu ukiona hii haikufai unaendelea na ile..., Cha maana tu aweke Parental Guide na Caution ya Strong Language etc. kama hivyo vipo...

Au mnataka wote wasikilize Gospel na Qaswida ?
 
Mi nilipitwa jaman rusha basi huo ubuyu
 
Wenyewe wanashindana kuyaonyesha Insta wew unakuja kumshtaki mtu hpa kwakuyataja tu[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…