Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Yaan tiktok walizuia saver zao, yaan zilikua hazisave wala ku download,

Mbna ningesave mie yaan, khaaaah ilikua pambee.

Na ile ya aslay na gay mtanzania anayeishi marekani? Ulipitwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ya aslay na rich naijua hiyo ilianzia instagram
 
Dada huna kivaranda?[emoji6][emoji6] sijaona ubaya kiasi ulichosimulia?

Japo simkubaligi anavyolegeza sauti na macho
 
First time tu namsikia sauti uyu jamaa nikajua tu ameleft group
Mimi sikuwahi kuelewa hata kwanini watu walikuwa wanamwelewa.
Mimi mara ya kwanza kumfahamu nilikuwa nimekaa na binamu yangu akawa anacheka peke yake akiwa na simu, mara eti akanionyesha alichokuwa anatazama anasema jamaa ni maarufu mtandaoni anaongea vitu vya ukweli ina a funny way, akanionyesha video kama mbili. Sikuvutiwa kabisa na niliona atakuwa na kasoro si bure...
Sikuwahi kumfuatilia tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…