Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo kinasa ameitwa sababu katajwa wazi, na clips zilionesha yuko nae.

Ko wasingeweza kumuita hakika pekee, watu wangehoji hapo.

Hii habari siion insta kina jumalokole kimyaaa
 
Ninawalaum sana wanawake kwa kusapoti hawa watu.... huyu jamaa ana mashabiki waaminifu sana ambao ni wanawake... kuna wanawake huwaambii kitu kuhusu Hakika Ruben... kinachoudhi wanawake wakisikia mtu ni shoga hukimbilia kuandika "Mungu tulindie vizazi vyetu" lakini kwenye maisha ya kawaida wanawake huwapenda sana hawa watu na kuwa nao karibu.
Na mambo ya sanaa sahvi ndy wanapitia humu humu

Ova
 
Back
Top Bottom