Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
- Thread starter
-
- #21
ni kweli spare zake org zmechangamka bei hatar ila ukiweka umeweka.Shda ya boxer kama noti za kuunga unga huwez buy genuine parts zake na ukiweka fake parts utaichukia ila n bonge la boda ninayo gia4 huwa natoka iringa had lake zone fresh tu
umemaanisha nin hapo mkuu?Haya yanafunika matuta vizuri sana
Hili zuri kwa rough road,liko juu nafikiri ndicho anachomaanishaumemaanisha nin hapo mkuu?
aanhaa! Nimekupata mkuuHili zuri kwa rough road,liko juu nafikiri ndicho anachomaanisha
Naam, kama mdau alivosema hapo juu linanesa tuumemaanisha nin hapo mkuu?
Boxer nimeendesha sana lakini Kuna mtoto mpya sokoni anaitwa SINORAY 180 cc ana gear 6.Hakika ipo gudi sana.
Inanipa kilometer 135 kwa mafuta ya elfu 6,000.
Ukiachana na vipuri vyake adimu kuvipata ila hizi pikipiki zipo vizuri sana
Ukijali umwagaji wa oil na filter kubadili kwa muda mwafaka, kwa fundi matengenezo mengne utayasikia tu kwa wengine.
Kofia ya laki 1,kwamba mvua ikinyesha huloaniHapo unyama aisee. Nina ndugu yangu pia ana private hapa Dar, formula yake ni moja hana haraka. Yupo radhi apite njia ndefu ya 10 km kuliko shortcut iliobusy ya 5 km.
Pia wekeza kwenye kofia. Achana na izo kofia za elfu 30. Tafuta ata Laki 1 ununue kofia nzuri mkuu.
Gears nzuri hata ukianguka unatoka safi mkuu, kule youtube wazee wa ukaya na amerika watu wa mwendo sana ila gears zinawaokoa sanaKofia ya laki 1,kwamba mvua ikinyesha huloani
kila la kheri kwake
Acha tu mkali. Na hapo nimesema ya bei ndogo.Kofia ya laki 1,kwamba mvua ikinyesha huloani
Hii sema mafuta inakula mkuu.... Huwa naweka ya elf 15 kwa km 200chopa lipo gud hili, huwa nalitaman sana.
Vip ulaji wake wa mafuta kilometer per lita
vipi kuhusu ulaji wake wa mafuta lita moja unakimbia km ngap?Naam, kama mdau alivosema hapo juu linanesa tu
ushauri mzuri Sana huuAverage ya 60km/L ni unyama. Kikubwa zingatia usalama mkuu kama unatumia private sio boda, chagua njia isio busy sana ata kama ndefu kuliko shortcut.
aiseee tupe full story mkuuBoxer nimeendesha sana lakini Kuna mtoto mpya sokoni anaitwa SINORAY 180 cc ana gear 6.
Aiseee
Afadhali vilaka mkuu, vipi ukijaa kwenye 18 za semi la Mchanga 🤣🤣ni kwel mkuu usipokua makini, mwili unajaa vilaka
🤣🤣 Hautaki au 🤣ndo hvo mkuu haraka haraka mwishowe unachelewa kufika kwel.
Ila hiyo kofia ya laki ndo ipoje mkuu
Kwahiyo Kwa ufupi atafute Hela 🤣Zipo paka za lakisaba wewetu