Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

aiseee tupe full story mkuu
Hii bike sokoni ni 2,700,000 chuma chepesi na kinatembea.

Boxer usalama wa muendeshaji ni mdogo Nadhan ni mambo ya mechanics. Ina nguvu ila muundo wake Kwa ujumla SI salama kw amuenseshaji ukilimganisha na pikipiki nyingine.

SINORAY service yake kubwa mafuta na chuma kimeshonwa vizuri. Mara Kwa mara natoka nayo kwenda mkuranga, kwenye safari ndegu unaenjoy sana
 
2 weeks ago nilishauri vijana na wanaume wenzangu ambao hatujajipata tununue pilkipiki tuache ujeuri wa kijinga

Asante sana umenielewa.
 
Hakika ipo gudi sana.
Inanipa kilometer 135 kwa mafuta ya elfu 6,000.
Mafuta ya 6000 ni sawa na 2L plus .025 and something. Kama inapiga 135km huu ni mradi wenye faida. That means bodaboda pamoja na hangi zao wanaingiza hela. Hawapati hasara.

Kwa matumizi binafsi faida ni Triple
 
Nyie ndio Mnataka vifo baadae mnasingizia piki piki.

Piki piki sio usafiri wa masafa marefu kama haya.

Piki piki unaweza kutoka Dar hadi Moro, na sio dodoma. Unatafuta kifo na majanga
Kifo tunatembea nacho....

Na pikpk wengne hatuendeshi kama shida bali ni ile hali ya kuenjoy tu mzee, afu usilolijua anaendesha pikpki yuko safe kuliko hzo gari ila inategemea na aina ya pkpki
 
Kwenye kofia hapo umeongea, mi yangu niliinunua laki 2......kuna siku imeniokoa sana sijui kama ningekuwa nimevaa hizi za bei rahisi ingekuje........
 
All the best. Hope you aint gonna spend all your savings on treating fructured bones.
 
Hongera sana mkuu, inaonekana nayo imetulia. kama nakuona vile ukielekea mkuranga
 
Kwenye kofia hapo umeongea, mi yangu niliinunua laki 2......kuna siku imeniokoa sana sijui kama ningekuwa nimevaa hizi za bei rahisi ingekuje........
Tangu helment yangu ya kwanza ya alfu 15 ikatike mkanda bila purukushani yoyote sinunui tena gear za kijinga..... japo naongea hivi niliyo nayo ni ya alfu 80 tu lakini si haba inazo sifa za kuitwa kofia ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…