Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

Mafuta ya 6000 ni sawa na 2L plus .025 and something. Kama inapiga 135km huu ni mradi wenye faida. That means bodaboda pamoja na hangi zao wanaingiza hela. Hawapati hasara.

Kwa matumizi binafsi faida ni Triple
ndo hvo mkuu naenjoy.
Kumbe bodaboda wanapga faida sana
 
Ndiyo hivyo kuna jamaa apa ofisini analo bike kali ana helment ya laki saba
ila mkuu hiyo helment ya 700k inaendana na boxer 150, ukiivaa?
Nicje nikaonekana kituko.
 
Pikipiki kwa DSM binafsi na recommend kwa kijana yoyote ni kitu cha muhimu kuwa nacho imagine unavyovimba kwenye foleni.

Unaachana na kero za public transport wengine sisi tuko sensitive kugusana tu na mwanamke tunapata mfadhaiko bora uvimbe kwenye chuma chako tu.

Kwa sasa chuma nimepaki kutokana na financial difficult ila nikipata mzigo inaenda kupigwa service narudi kuvimba barabarani
 
sahih mkuu, nilipanda daladala siku moja tukapakama na mmama anamakario makubwa acha afu yupo kweny dira tumesimama.
Ile gari kweny mabonde inanesa huku mfelej wa nyashi yake ikawa kama inanibugia nyonga yang.

Nilijikuta saa ya mshale imeanza kutiki.

Ila khira la kheri mkuu, chuma yako itarud balabalani
 
Average ya 60km/L ni unyama. Kikubwa zingatia usalama mkuu kama unatumia private sio boda, chagua njia isio busy sana ata kama ndefu kuliko shortcut.
60km kwa boxer hupati, ikikupendelea sana basi utapata 45km/l
 
Ninayo mwaka wa 3 huu,haijawahi kuniangusha,safari ni popote,bado ipo kama nimeinunua jana vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…