Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

Huwezi kupata km 60 kwa lita. Haiwezekani daima
Sasa pikipik yangu naijua why ukatae mkuu.. Kuna sehem hadi kufka pale huwa ni km23 ila mim huweka mafuta ya buku mbili kwenda na kurudi
 
Huwezi kupata km 60 kwa lita. Haiwezekani daima
Na hapo sijaibana sasa kweny curburator. Make niliweka mpya carburator nikisema niibanie kidogo mafuta asee ni full bata lita moja ni km za kutosha hata 70km
 
Sasa pikipik yangu naijua why ukatae mkuu.. Kuna sehem hadi kufka pale huwa ni km23 ila mim huweka mafuta ya buku mbili kwenda na kurudi
Yapo mambo ya kubishana lakini mengine si ya kubishana. Hakuna boxer inaweza kufika km60 kwa lita. Nimekuambia hata 45 tu bado itakua imekupendelea

Boxer wenyewe wanasema inakupa km 50( makadirio ya juu) japo haiwezi kufika 50 Ila sababu ya kibiashara wanaweka hizo 50
Wewe hizo 60 unazitoa wapi?


Huyu mdau alifanya research ya hiyo boxer, akapata lita 1 kwa km 34.

View: https://youtu.be/s59YfLwIm5Y?si=vUT1JMr-Hgj3ohT4
Hakuna pikipiki inakupa lita 1 km 60. Zile type ya vespa ndio zinaweza kukupa hizo km
 
Ngoja tusibishane sana.. Upo wapi
 
Hyo jamaa carburator yake akaichek au plug yan 34km per lita duu
 

Cha mtu, mavi!
 
Hyo jamaa carburator yake akaichek au plug yan 34km per lita duu
Hakuna pikipiki inakupa hizo kilomita. Hapo nimekupa info za kampuni yenyewe wanasema km 50, nazo hazifiki. Unataka kuniambia kampuni nayo inajidhulumu?

Ninakueleza haya yote nikiwa na uzoefu mkubwa, Kuna mwaka nilinunua hizi nikampa dogo asimamie vijana walete hesabu
 
Mwez ujao nipo huko mkuu nipe namba pm ntakuchek na utareta mrejesho hapa
 
video kama hizi ni chache sana nchini kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…