Hakika sijutii kununua pikipiki aina ya boxer 150(bm150)

malalamiko ya HD ifike muda mo na timu yao waangalie busara ya kufanya, ni kama utapeli sasa
kabxa mkuu, kunajamaa alinunua hata wiki haikuisha pikpk ikaanza kunya moshi
 
Reactions: Lax
Boxer nimeendesha sana lakini Kuna mtoto mpya sokoni anaitwa SINORAY 180 cc ana gear 6.

Aiseee
Aiseee, kumbe sio Mimi Tu nimepagawa na hii chuma, juzi Kati hapa nilirequest bolt ikaja hiyo chuma, inatembea na ina nguvu balaa, hvi uingiaji wa gear zake ukoje ?
 
Kuna jamaa mmoja nilimsikia anasema hawa wanafanya makusudi wauze spare
daah wanatukosea sana, yan ikianza kunya moshi hata stimu ya kutamba nayo kwa warembo inakata kabxa
 
Nilikua na BM 150 ,,now na Domo la Mamba 125,, but 150 GIA nne is the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…