MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
AI bwana!! Kwahio huyo mamsi katumbukiza mkono kwenye ukuta
Hii ni kwa wale walioingia huo mkenge wa ndoasiyo solution. solution ni kuepuka ndoa. nyakati tulizonazo siyo ya kuingia kwenye ndoa.
Ajengewe mnaraHuyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
kwahiyo mwanamke kubadili hati kwa siri siyo ubinafsi?Huyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Atuelezee, wapigaji tu haokwahiyo mwanamke kubadili hati kwa siri siyo ubinafsi?
Enzi za wazazi wetu, ndoa ilikuwa kusudi la Mungu. lakini kwa sasa ni upumbavuHii ni kwa wale walioingia huo mkenge wa ndoa
Wakichomolewa nafsi kama 100 hivi watajipanga, ndoa iheshimiwe na woteDada zetu siku hizi kila uchao makongamano yakuhamasishana upumbavu, watakufa sana wakiendekeza mali baadala ya utu
hawa vibaka wanateteana na sanaAtuelezee, wapigaji tu hao
Makenge sana haoNiko na kuweka bega kwa bega. Ati, nitafute mali kwa maumivu makubwa halafu unakuja tu kuzichuka na kuondoka nazo huku sehemu za nyuma ukizitingisha halafu nikuache?! Sahau!
Halafu mnavyomsifia kweka kuna ukweli kuhusu yeye ambao hamuusemi au labda hamuujui. Hamjui hata hiyo saratani imesababishwa na nini๐๐๐. Nyie mmemjua baada ya hili tukio ila kuna sisi tumemjua kabla na mambo yake tunayajua vyema๐๐๐YBWYBAjengewe mnara
Si ndio mwili m1 wenyewe? Inabidi waondoke wote, sasa ubinafsi na wivu vipi?Huyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Haijalishi, ametuwakilisha vyemaHalafu mnavyomsifia kweka kuna ukweli kuhusu yeye ambao hamuusemi au labda hamuujui. Hamjui hata hiyo saratani imesababishwa na nini๐๐๐. Nyie mmemjua baada ya hili tukio ila kuna sisi tumemjua kabla na mambo yake tunayajua vyema๐๐๐YBWYB