Kwamba kweka alikua ni Gay, na saratani ya utumbo kapata kupitia hicho kitu au??Halafu mnavyomsifia kweka kuna ukweli kuhusu yeye ambao hamuusemi au labda hamuujui. Hamjui hata hiyo saratani imesababishwa na niniπππ. Nyie mmemjua baada ya hili tukio ila kuna sisi tumemjua kabla na mambo yake tunayajua vyemaπππYBWYB
Kuweka sasa hivi huko mitaani ni role model kwa vijana wengi sana wa kiume.Makenge sana hao
Sio ubinafsiππkwahiyo mwanamke kubadili hati kwa siri siyo ubinafsi?
Coca on 1&2 πKwamba kweka alikua ni Gay, na saratani ya utumbo kapata kupitia hicho kitu au??
Em funguka zaidi.
Wajasiria K hawakosi utetezi, sisi tunachojua ametuwakilisha vyema kwenye hiliKwamba kweka alikua ni Gay, na saratani ya utumbo kapata kupitia hicho kitu au??
Em funguka zaidi.
nyie vibaka tutawashusha mmoja mmoja mpaka muashe uporaji na unyang'anyiSio ubinafsiππ
Sasa mbona hakujimaliza na yeye hapo hapo?Si ndio mwili m1 wenyewe? Inabidi waondoke wote, sasa ubinafsi na wivu vipi?
ππππ
kuna mtu ambaye siyo marehemu mtarajiwa? nyie vibaka tutawashusha mmoja mmoja mpaka muache unyang'anyiKweka nyumba alitaka ya nini ikiwa yeye ni marehemu mtarajiwa
GG: YesWale wa kubet wanasema both team to score π€£π€£
Oaneni basi nyie kwa nyieπππmaana mnajidai hamtuelewi.nyie vibaka tutawashusha mmoja mmoja mpaka muashe uporaji na unyang'anyi
Kifo yeye ni kugusa mtu ana saratani, ilitakiwa zoezi la kubadili jina la hati afanye yeyekuna mtu ambaye siyo marehemu mtarajiwa? nyie vibaka tutawashusha mmoja mmoja mpaka muache unyang'anyi
πππ najaribu kudodosa eti. LolCoca on 1&2 π
Wachaa wee!!Wajasiria K hawakosi utetezi, sisi tunachojua ametuwakilisha vyema kwenye hili
mke wake alipaswa kumshawishi wabadili na siyo kubadili kwa siriKifo yeye ni kugusa mtu ana saratani, ilitakiwa zoezi la kubadili jina la hati afanye yeye
Itabidi na kweka auawe, ama nene?Sasa mbona hakujimaliza na yeye hapo hapo?
Muhimi sana kudodosa, ukipata majibu uniambie.πππ najaribu kudodosa eti. Lol
acheni uporaji wa mali za watu.Oaneni basi nyie kwa nyieπππmaana mnajidai hamtuelewi.
Usijari, πππMuhimi sana kudodosa, ukipata majibu uniambie.