Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

kumbe mapolisi km wote inabidi ukae kimasta. Ukileta fujo watajua kina kweka

Kumbe upo mjini coca πŸ€”
Nipo Mjini mahi, nilikuwepo hapo, nikaamua niondoke zangu, nia yangu nije nipate umbea, si unajua mie nikose kula ila sio umbea, nlivyoona polisi na mitutu, nikaamua nisepe zangu.
 
Kwakuwa mwanamke ni mmachame ,kuna 99.9% hiyo saratani imesababishwa na yeye kumuwekea vitu flani kwenye chakula(Siwezi kuvitaja maana wanawake wa sasa hawakawii kwenda kuwawekea wanaume wao ili warithi mali).
 
Afisa NakugawaπŸ™Œ
 
Wanawake wengi wanawau wanaume zao wakishajihakikishia kuwa na mali+watoto lazma vitimbwi vianze pia ningemshauri kweka achunguze hiyo saratani inasababishwa na nini pengine aliwekewa hata stillwire kwenye chakula
 
Hamna mtoto hata mmoja ambaye ni wakwake. Hao watoto ni wa (damu ya kweka) ila sio wa huyo. Wachaga na mambo yao nisiyaingolee. Ila hata yeye alikuwa analijua kabisa.

Kweka hela ni za urithi alirithi biashara za baba yake. Ni kama hana hela tu maana hata mama yake alikuwa anampa hela kama mtoto mdogo. Mke wake sikuwahi kumjua ndio nimemjua baada ya hili sakata.
 
Mtaongea yote, ila hatuyaamini. sisi tunajua Kweka amekataa dhuluma, amesababisha Mungu ampende zaidi Bi. Urassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…