Ulinzi mkali mno, utadhani kuna hali ya hatari, sijui wanaogopa labda familia ya kweka wanaweza weka vurugu, mie hata hamu ya kuchukua picha sikuwa nayo, nikaamua nisepe zangu tu.Duuh ulinzi tena mkali ,wanahisi kutakuwepo vurugu? Ungechukua hata kijipicha au walifanya kama SAMUYA zimbabwe no FOTO?
Nawewe umeamini kweli anachosema huyo? Fuatilia maoni yake kwenye nyuzi nyingine zinazohusu hii ishu utakujutia muda kujibizana na hilo botMaskiniii!! Sasa kwanini alioa? Alitaka kufurahisha umma kuwa naye ni straight? Ili hali sio? Au hiyo migogoro ilikua kuhusu mambo ya ndani na sio mali? Vipi watoto wote ni wake? Au kapigwa? Utafanya nianze kumchukia kweka, alimuuaje mtu aliyemsitiri na mambo yake ya gizani???
Swali langu ni hili, kati ya kweka na Urassa nani alikua na hela/kazi nzuri ya maana? Kuna kitu nataka kung'amua hapa.
Nipe ushirikiano diha, plz.
Kweka alizingua na wa hovyo kweli yaani mtu uliyetoka nae kwenu mnajuana in and out hakupaswa kulegeza toka mwanzo alivyo oona mambo hayako sawa angetafuta settlement mapema....Labda mambo ya mitishamba
Nakubaliana na weweNawewe umeamini kweli anachosema huyo? Fuatilia maoni yake kwenye nyuzi nyingine zinazohusu hii ishu utakujutia muda kujibizana na hilo bot
Mwanamke mara zote akibananishwa hakosi mbinu ya kujilinda. Utaitwa hanithi, shoga na kila aina ya majina yenye kufedhehesha
Tukiwaambia sio lazima wawe km kina anko T hamuelewi cc cocasticEeeh kweka huyu huyu?
Ndio maana, nikawa nashangaa hawa polisi na defender na mitutu, kuna hali ipi ya hatari,Hawawez kukosa kwa ile scenario ilivyo kuwa lazima wawepo na hizo jamii zinavyopenda fujo mpaka msibani
Acheni kuchafua watu, wapuuzi nyieKitambo tu. Tena nasikia tangu akiwa mdogo. Ulishawahi kuona akitembea? Sasa mimi hilo nina uhakika nalo 100%. Ningekufungukia zaidi ila ngoja yatakuwa wazi soon. Hata hiyo cancer sisi tulijua muda japo wengi wamejua baada ya tukio, watu wengi walio maaneo ambayo yalikuwa yake ya kujiachia mbona wanajua vizuri tu.
Jamanii, ๐๐๐
Mitishamba Mkuu, hapo na Bagamoyo siyo mbaliKweka alizingua na wa hovyo kweli yaani mtu uliyetoka nae kwenu mnajuana in and out hakupaswa kulegeza toka mwanzo alivyo oona mambo hayako sawa angetafuta settlement mapema....
Hawa wamachame mbn wengi wamewamudu tuu.... Ondoa hisia weka akili mbele
๐คฃ majani au magome๐Toa shaka. Nitatia majani ya msesewe kwenye dumu la mbege ili kitambi kisikuote.
Ngoja nikuulize kitu. Kama hayo unayoyasema ni kweli.Hizo accusation hatuwezi kuzikubali sasa, sisi tunachojua kasimama kama baba kwenye familia, kaondoa kirusi kwenye ndoa.
Tutapata, usijali. We fika kwanza.Ewaaah alafu hifiii tutapata mkungu wa itoke kwelyiiiiiiiiiiih
๐๐๐๐๐Acheni kuchafua watu, wapuuzi nyie
Kiburi yao mwisho kibosho, kule hatuchekeshi๐Kweka alizingua na wa hovyo kweli yaani mtu uliyetoka nae kwenu mnajuana in and out hakupaswa kulegeza toka mwanzo alivyo oona mambo hayako sawa angetafuta settlement mapema....
Hawa wamachame mbn wengi wamewamudu tuu.... Ondoa hisia weka akili mbele
Yeah, magome. Nimeteleza kidogo bwashee ๐๐คฃ majani au magome๐
Hamna mkuu ni utani tuu uzi uchangamkeBasi mkuu wacha nilogu auti kwenye huu uzi.
Haya yote ni afterthought, issue hapa ni dhuluma, kubadilisha hati kwa hila na udanganyifu, na hii issue iko rational, hayo mengine ni conspiracy theories ambazo hazina mashikoNgoja nikuulize kitu. Kama hayo unayoyasema ni kweli.
Baba anayejua siku zake za kuishi zinahesabika, anaweza kuua mama ambaye ndio analea watoto hadi kuwalipia ada kisa nyumba? Na anajua yeye hatokuwepo? Basi hata mama awepo aangalie watoto?
Ni kwa sababu alijua hata watoto hawamuusu๐๐na hawamuusu kwa sababu uwezo wa kuzalisha hakuwa nao. Na kwanini hakuwa nao?๐๐๐
Inashangaza mno aseeAcheni kuchafua watu, wapuuzi nyie
Acheni kufuatilia maisha ya watu, haya unayotaka kuyajua hayawezi kukupa faida kwenye maisha yakoMaskiniii!! Sasa kwanini alioa? Alitaka kufurahisha umma kuwa naye ni straight? Ili hali sio? Au hiyo migogoro ilikua kuhusu mambo ya ndani na sio mali? Vipi watoto wote ni wake? Au kapigwa? Utafanya nianze kumchukia kweka, alimuuaje mtu aliyemsitiri na mambo yake ya gizani???
Swali langu ni hili, kati ya kweka na Urassa nani alikua na hela/kazi nzuri ya maana? Kuna kitu nataka kung'amua hapa.
Nipe ushirikiano diha, plz.