Watu hawazeeki kwenye picha , live utakimbiaHata mimi nashangaa kwa nini mtu ana miaka 45 kwenda juu ni mbichi, nadhani watu wa siku hizi kwa nje hawazeeke, lakini kwa ndani ni wazee. Kinyume chake ni kwamba sisi wazee wa zamani unaweza kuona tumezeeka kwa nje lakini kwa ndani tuko fiti ile fiti yaani!
NkweshooMaswai wa nkwesoo, kadai niachane nae mara moja naweza mkata shingo etiπ
Mm tena mwandishi wa kujitegemea πKaa hapa usitoke.
Unautoa jikoni ukiwa bado mwekundu na moto kisha unautia kwenye debe la mbege uzimikie hukoKabisa mkuu.
Ni kweli bravo ila Jane alikuwa pisi la kulia nyama choma kwa HeinekenWatu hawazeeki kwenye picha , live utakimbia
Hawana shida kabisa , wanachapa kazi mno , ni wewe tu ujimix kizembeπHahahaha yule atahakikisha amekupa depression ndiyo umuue ama ufe hakuachi hifi hifi babanguuuu π€£
Kikubwa oa mtu anae kupenda yeye hata akiwa polygon.Niko na Kweka bega kwa bega. Ati, nitafute mali kwa maumivu makubwa halafu unakuja tu kuzichuka na kuondoka nazo huku sehemu za nyuma ukizitingisha halafu nikuache?! Sahau!
Yeah nime ruka hNkweshoo
Weka picha kakaNi kweli bravo ila Jane alikuwa pisi la kulia nyama choma kwa Heineken
Nimesikia kuwa fence alijenga yeye Jane, kwa mkopo, na kuhusu marejesho kweka alikataa hahusiki, kiwanja kweli cha Jane, inasemekana walikubaliana wajenge nyumba hapo. Kuhusu ada na vingine bado sijanyaka kiundani.Si umeona kwamba hata kiwanja mwanamke ndio aliyenunua? Si umeona pia mwanamke alichukua mikopo kwa ajili ya ujenzi na ada za watoto hadi akashindwa kulipwa akapelekwa polisi? Haya tuseme basi tusichimbue ya sirini tuongelee haya haya yaliyo wazi hapo si unaona Jane alikuwa na hela zake.
Ngoja wakazike huko kwao watu wa kwao wahojiwe wafunguke vizuriπππ
Anakwambia una ng''ombe wa maziwa na kirikuu ya kubebea majani akija kazi kazi πHawana shida kabisa , wanachapa kazi mno , ni wewe tu ujimix kizembeπ
Thubutu, Ndoa tunaendelea kuingiasiyo solution. solution ni kuepuka ndoa. nyakati tulizonazo siyo ya kuingia kwenye ndoa. wanawake wa kuoa kizazi hiki hawapo, ni vibaka tupu
Naomba uweke hapa tafadhari, mambo kwa ushahidiiii. Jamaniii aloooohHawa wanataka hadi niwapostie picha nikiwa na Kweka ndio wajue namjua vizuri hawaππππ
Picha kaka sina ila Jane ni lizuri na kule ukanda una rangi ya mtume tuu wengi π majirani zake min -meWeka picha kaka
Yaani watu wahenga nyumba ya 350M wakose hela ya fensi mpaka wakope? Hiyo stori hai-tally.Nimesikia kuwa fence alijenga yeye Jane, kwa mkopo, na kuhusu marejesho kweka alikataa hahusiki, kiwanja kweli cha Jane, inasemekana walikubaliana wajenge nyumba hapo. Kuhusu ada na vingine bado sijanyaka kiundani.
Ila hili la kweka kuishi sana Kwao moshi, tofauti na bunju kwa mkewe, toka mwanzo nilikua nashindwa kuelewa.
Em kweka yote unayoyafahamu kuhusu huyu kweka, wallah.
Sio wote lakiniπAnakwambia una ng''ombe wa maziwa na kirikuu ya kubebea majani akija kazi kazi π
Kaka upo poa ndugu yanguYeah nime ruka h
Kwamba hata kule selfika mambo huwa hivi?! π²Watu hawazeeki kwenye picha , live utakimbia
Limefungwa vile vile, ila nilikuta na watu watu pembeni, sijui ni majirani, au wambea km mie. πππHahahaha hv geti lilikuja funguliwa ??