Mbona huusemi?Halafu mnavyomsifia kweka kuna ukweli kuhusu yeye ambao hamuusemi au labda hamuujui. Hamjui hata hiyo saratani imesababishwa na niniπππ. Nyie mmemjua baada ya hili tukio ila kuna sisi tumemjua kabla na mambo yake tunayajua vyemaπππYBWYB
Kwa kipi haswaa? Utaunukisha wewe??Mnafanya huu uzi unuke mi.mavi
Ndiyo maana hakuna pombe ya asili niipendayo kama mbege π₯°Unautoa jikoni ukiwa bado mwekundu na moto kisha unautia kwenye debe la mbege uzimikie huko
Point kubwa mno hii π₯Kikubwa oa mtu anae kupenda yeye hata akiwa polygon.
Ukiona tako, sura , mapaja, hipsi, utadondokewa na kitu kizito muda si mrefuu
Naam hawa wa kimjin mjini hawataki ng''ombe wanataka njia si umemuona Jane ππSio wote lakiniπ
Salama master za mda drKaka upo poa ndugu yangu
Hii ungeweka bold ili waone vizuri maana hapo inakua km haionekani vizurini wajisiria K
Em wewe unayejua kiundani utupe hapa, kila mtu yuko huru kusema anachokijua au kufahamu kuwahusu hawa watu na mambo yao.Yaani watu wahenga nyumba ya 350M wakose hela ya fensi mpaka wakope? Hiyo stori hai-tally.
Hivi mnajuaga mtu mwenye Uwezo wa kujenga nyumba kama Ile ana hela za kuunga unga?
Majirani wanafiki ety sikuwahi kumuona Jane ndo nimemsikia leo ππ ukute huyo katoka makongo kufuata umbeaLimefungwa vile vile, ila nilikuta na watu watu pembeni, sijui ni majirani, au wambea km mie. πππ
πππ mie nimechoka pale, nauliza mtu, anasema wakazi wa ile nyumba hakuwahi kuwajua wala kuwaona, nikaogopa kudodosa mwisho niambiwe nikasaidie polisi, nikaondoka zangu.Majirani wanafiki ety sikuwahi kumuona Jane ndo nimemsikia leo ππ ukute huyo katoka makongo kufuata umbea
Jumba zuri alooh, na wanandoa walikuwa vyema tuu ila ndo hivyo mambo ya kifo hayana muongozo waweza dondokewa hata na tofaliπππ mie nimechoka pale, nauliza mtu, anasema wakazi wa ile nyumba hakuwahi kuwajua wala kuwaona, nikaogopa kudodosa mwisho niambiwe nikasaidie polisi, nikaondoka zangu.
Ila nyumba ni nzuri kwa kweli, nimeipenda buree, .
Unajua bado sielewi, inasemekana walihamia mwaka jana Dec, mbona pale niliuliza mtu akasema yeye pale ameanza kuona km watu wanaishi toka mda kabla ya hiyo Dec,Jumba zuri alooh, na wanandoa walikuwa vyema tuu ila ndo hivyo mambo ya kifo hayana muongozo waweza dondokewa hata na tofali
Dolly kafikia wapi π
Inasikitisha,huyu kweka angejiua nae pia.Natakiwa nikusanye na kuyahifadhi na kuyalinda kwa wivu mkubwa.
πππ
Hao hawawezi kusema chochote ata kama ni wewe ungesema Nini na nduguyo kaharibu?Unajua bado sielewi, inasemekana walihamia mwaka jana Dec, mbona pale niliuliza mtu akasema yeye pale ameanza kuona km watu wanaishi toka mda kabla ya hiyo Dec,
Nachoka tu kwa kweli, afu familia ya Kweka imenyuti kimya hata kutoka na kuanza kuongea hawataki, wamekauka kau, mie wananiudhi, wafanye kuongea tujue ya upande wao
Aaaah. πππ
Ila huyu kweka kwa kumtazama vizuri, kuna kitu hakiko sawa, wallah vile.Inasikitisha,huyu kweka angejiua nae pia.View attachment 3686827
Watoke tu na wao waseme kwa upande wao. Ndugu yao kaharibu wao wanapaswa kutengeneza.Hao hawawezi kusema chochote ata kama ni wewe ungesema Nini na nduguyo kaharibu?
Wanaanzaje wakati ushaambiw mwenye shamba ni mwingine mazao ni ya mwingine au wote πUnajua bado sielewi, inasemekana walihamia mwaka jana Dec, mbona pale niliuliza mtu akasema yeye pale ameanza kuona km watu wanaishi toka mda kabla ya hiyo Dec,
Nachoka tu kwa kweli, afu familia ya Kweka imenyuti kimya hata kutoka na kuanza kuongea hawataki, wamekauka kau, mie wananiudhi, wafanye kuongea tujue ya upande wao
Aaaah. πππ
Mm niliwaambia toka muda nina sensor kali wakabisha niliwatonya hata humu yamo tuuIla huyu kweka kwa kumtazama vizuri, kuna kitu hakiko sawa, wallah vile.
Hawawezi sema chochote,labda Hadi wazike.maana upande wa kike hawawezi kuelewa chochote na vile mtoto wao kashapotea.Watoke tu na wao waseme kwa upande wao. Ndugu yao kaharibu wao wanapaswa kutengeneza.