Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nina 90% maza na Tulia hawajausoma mkabata huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi hadi sasa hajasema chochote kuhusiana na hili jambo? anadhani viburi vitamsaidia?Samia ni bubu kwenye hili la DPW, anajua akisema atakuwa upande wa waarabu.
Mzee hongera sana kwa kuvumilia hapo LumumbaSpika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa zamani wa UDSM (mwanangu ambaye kwasasa naye ni Mhadhiri hapo alifundishwa naye) sasa ni dhahiri anazidiwa nguvu na siasa.
Siasa za kisasa zinataka matumizi sahihi ya fani, ujuzi na uzoefu juu ya mambo ambayo mwanasiasa anajihusisha nayo. Hata kwenye michakato ya kuwapata viongozi kwenye mihimili na kwingineko, mambo hayo huzingatiwa. Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kinapaswa kuongozwa na mwerevu wa, pamoja na mambo mengine, sheria.
Pamoja na kwamba kwasasa amehama kwenye tasnia ya sheria (alikofika ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na kuhamia siasani, Dr. Tulia anapaswa kuwa mfano mwema. Anapaswa kuwaonesha watanzania kuwa taaluma yake ya sheria inatusaidia sote kupitia nafasi ya Uspika aliyonayo. Bado anapaswa kuzungumza kama mwanasheria-kuzungumza facts zaidi ya porojo na hoja kuliko vihoja.
Jambo hili la Mkataba wa DP World ni la kisheria. Sote tulimtegemea tangu Bungeni kulizungumza na kuliongoza kisheria kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Lakini, siasa ikamzidi nguvu. Akafanya alivyoagizwa kichama na kiserikali badala ya kadiri ya taaluma yake. Bado, huko Mbeya, anaendelea kuliletea porojo, dhihaka na kebehi jambo hili na wale wanaolizungumzia. Siasa inamdhalilisha na kumtweza.
Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra.
Rais Samia, maoni yako ni yapi kuhusiana na Mkataba wa DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hakika kwa sasa, ukimsikiliza Tulia, kama hujaambiwa na mtu yeyote juu ya kiwango chake cha elimu, ni vigumu sana kufikiria kuwa anaweza kuwa japo na shahada moja ya sheria. Amekuwa ni mtu wa porojo na vioja, asiye na mvele wala nyuma, mtu asiyetambua hata thamani ya ubinadamu wake.Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa zamani wa UDSM (mwanangu ambaye kwasasa naye ni Mhadhiri hapo alifundishwa naye) sasa ni dhahiri anazidiwa nguvu na siasa.
Siasa za kisasa zinataka matumizi sahihi ya fani, ujuzi na uzoefu juu ya mambo ambayo mwanasiasa anajihusisha nayo. Hata kwenye michakato ya kuwapata viongozi kwenye mihimili na kwingineko, mambo hayo huzingatiwa. Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kinapaswa kuongozwa na mwerevu wa, pamoja na mambo mengine, sheria.
Pamoja na kwamba kwasasa amehama kwenye tasnia ya sheria (alikofika ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na kuhamia siasani, Dr. Tulia anapaswa kuwa mfano mwema. Anapaswa kuwaonesha watanzania kuwa taaluma yake ya sheria inatusaidia sote kupitia nafasi ya Uspika aliyonayo. Bado anapaswa kuzungumza kama mwanasheria-kuzungumza facts zaidi ya porojo na hoja kuliko vihoja.
Jambo hili la Mkataba wa DP World ni la kisheria. Sote tulimtegemea tangu Bungeni kulizungumza na kuliongoza kisheria kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Lakini, siasa ikamzidi nguvu. Akafanya alivyoagizwa kichama na kiserikali badala ya kadiri ya taaluma yake. Bado, huko Mbeya, anaendelea kuliletea porojo, dhihaka na kebehi jambo hili na wale wanaolizungumzia. Siasa inamdhalilisha na kumtweza.
Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra.
Rais Samia, maoni yako ni yapi kuhusiana na Mkataba wa DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Yaani imefika mahali Tulia unamuonea huruma tu.Yani mpaka mwenyewe najiuliza siasa ina nini ndani yake?
Maana kawakusanya watu ambao hawaelewi kitu anasema anatoa elimu kuhusu mkataba, afu wao wanasema tuko nae bega kwa bega hata kwenye misiba, ametukopesha peas, Bajaji, nk
Afu yeye ameona kamaliza
Kukosa sifa hukosa kujiamini."Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra"
Mimi naomba niishi na hayo maneno bora kabisa, yatanifaa baadae
Ila kweli wenye Phd wakiwa vyama vingine wana baki na sense zao.Hakuna sehemu inayoharibu taaluma ya mtu kama ccm.
Kuna Phd nyingi sana katika taifa hili ambapo kama zingekuwa zinapewa nafasi na uhuru taifa lingekuwa na hatua walao nyingi mbele.
Mkuu mbona ile kashifa ya Richmond haikuwa na utata mwingi kama hii, lakini kuna watu jiuzuru nyadhifa zao; lakini hii iko poa tu, kwa nini?Elimu haijawahi kuwabadilisha watu wa pande izo. Mtu hata awe na digrii mia, bado vile vitabia vya kinyakyusa vinakuwepo.
Unakumbuka jinsi Daktari Mwakyembe msomi mwenye digrii nne alivyomchamba na kumsagia kunguni waziri mkuu wa kipindi kile Eddo Ngoyai Lowasa. Bila hata ya kumsitiri kwa kumuacha na kipensi, mzee wa watu alivuliwa nguo zote mbele ya kadamnasi, katikati ya vikao vya bunge.
Msomi mwakyembe alikuwa anachamba kuliko wale wanawake wa kiswahili wa Buza na Mbagala! Unakumbuka!
Kusema kweli sikutegemea kuwa siasa ingemtoa ufahamu Tulia kiasi hiki.Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa zamani wa UDSM (mwanangu ambaye kwasasa naye ni Mhadhiri hapo alifundishwa naye) sasa ni dhahiri anazidiwa nguvu na siasa.
Siasa za kisasa zinataka matumizi sahihi ya fani, ujuzi na uzoefu juu ya mambo ambayo mwanasiasa anajihusisha nayo. Hata kwenye michakato ya kuwapata viongozi kwenye mihimili na kwingineko, mambo hayo huzingatiwa. Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kinapaswa kuongozwa na mwerevu wa, pamoja na mambo mengine, sheria.
Pamoja na kwamba kwasasa amehama kwenye tasnia ya sheria (alikofika ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na kuhamia siasani, Dr. Tulia anapaswa kuwa mfano mwema. Anapaswa kuwaonesha watanzania kuwa taaluma yake ya sheria inatusaidia sote kupitia nafasi ya Uspika aliyonayo. Bado anapaswa kuzungumza kama mwanasheria-kuzungumza facts zaidi ya porojo na hoja kuliko vihoja.
Jambo hili la Mkataba wa DP World ni la kisheria. Sote tulimtegemea tangu Bungeni kulizungumza na kuliongoza kisheria kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Lakini, siasa ikamzidi nguvu. Akafanya alivyoagizwa kichama na kiserikali badala ya kadiri ya taaluma yake. Bado, huko Mbeya, anaendelea kuliletea porojo, dhihaka na kebehi jambo hili na wale wanaolizungumzia. Siasa inamdhalilisha na kumtweza.
Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra.
Rais Samia, maoni yako ni yapi kuhusiana na Mkataba wa DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Wanyakyusa hawapendi ubabaishaji,ni watu Wawazi sana na wamenyooka!Elimu haijawahi kuwabadilisha watu wa pande izo. Mtu hata awe na digrii mia, bado vile vitabia vya kinyakyusa vinakuwepo.
Unakumbuka jinsi Daktari Mwakyembe msomi mwenye digrii nne alivyomchamba na kumsagia kunguni waziri mkuu wa kipindi kile Eddo Ngoyai Lowasa. Bila hata ya kumsitiri kwa kumuacha na kipensi, mzee wa watu alivuliwa nguo zote mbele ya kadamnasi, katikati ya vikao vya bunge.
Msomi mwakyembe alikuwa anachamba kuliko wale wanawake wa kiswahili wa Buza na Mbagala! Unakumbuka!
Huyu hapa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika kwa sasa, ukimsikiliza Tulia, kama hujaambiwa na mtu yeyote juu ya kiwango chake cha elimu, ni vigumu sana kufikiria kuwa anaweza kuwa japo na shahada moja ya sheria. Amekuwa ni mtu wa porojo na vioja, asiye na mvele wala nyuma, mtu asiyetambua hata thamani ya ubinadamu wake.
Kama watu wote waliosoma wangekuwa ni wanafiki na wasiojirambua kama Tulia, hakika kysingekuwa na haja hata ya kusoma.
There you are...Kwamba Mwakyembe kuanika ukweli ilikuwa kosa na 'vitabia vya kinyakyusa'?
Mkuu Spika wa JMT yuko chini ya Rais. Anatetea kila kitu serikali inavyosema, tatizo katiba.Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa zamani wa UDSM (mwanangu ambaye kwasasa naye ni Mhadhiri hapo alifundishwa naye) sasa ni dhahiri anazidiwa nguvu na siasa.
Siasa za kisasa zinataka matumizi sahihi ya fani, ujuzi na uzoefu juu ya mambo ambayo mwanasiasa anajihusisha nayo. Hata kwenye michakato ya kuwapata viongozi kwenye mihimili na kwingineko, mambo hayo huzingatiwa. Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kinapaswa kuongozwa na mwerevu wa, pamoja na mambo mengine, sheria.
Pamoja na kwamba kwasasa amehama kwenye tasnia ya sheria (alikofika ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na kuhamia siasani, Dr. Tulia anapaswa kuwa mfano mwema. Anapaswa kuwaonesha watanzania kuwa taaluma yake ya sheria inatusaidia sote kupitia nafasi ya Uspika aliyonayo. Bado anapaswa kuzungumza kama mwanasheria-kuzungumza facts zaidi ya porojo na hoja kuliko vihoja.
Jambo hili la Mkataba wa DP World ni la kisheria. Sote tulimtegemea tangu Bungeni kulizungumza na kuliongoza kisheria kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Lakini, siasa ikamzidi nguvu. Akafanya alivyoagizwa kichama na kiserikali badala ya kadiri ya taaluma yake. Bado, huko Mbeya, anaendelea kuliletea porojo, dhihaka na kebehi jambo hili na wale wanaolizungumzia. Siasa inamdhalilisha na kumtweza.
Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra.
Rais Samia, maoni yako ni yapi kuhusiana na Mkataba wa DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hukuna nguvu kubwa inayotumika kutetea ..ungesema ni nguvu za kijinga !Na swali la kujiuliza kwa nini Nguvu inayotumika kuutetea ni kubwa sana...?
Kwa wanaojua ugumu wa kuipata PhD Amerika na Ulaya, nina wasi wasi Tulia aliweza kubebwa kupata hiyo PhD. Maana, akiongea unaona ni kilaza wa kawaida.Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa zamani wa UDSM (mwanangu ambaye kwasasa naye ni Mhadhiri hapo alifundishwa naye) sasa ni dhahiri anazidiwa nguvu na siasa.
Siasa za kisasa zinataka matumizi sahihi ya fani, ujuzi na uzoefu juu ya mambo ambayo mwanasiasa anajihusisha nayo. Hata kwenye michakato ya kuwapata viongozi kwenye mihimili na kwingineko, mambo hayo huzingatiwa. Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kinapaswa kuongozwa na mwerevu wa, pamoja na mambo mengine, sheria.
Pamoja na kwamba kwasasa amehama kwenye tasnia ya sheria (alikofika ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na kuhamia siasani, Dr. Tulia anapaswa kuwa mfano mwema. Anapaswa kuwaonesha watanzania kuwa taaluma yake ya sheria inatusaidia sote kupitia nafasi ya Uspika aliyonayo. Bado anapaswa kuzungumza kama mwanasheria-kuzungumza facts zaidi ya porojo na hoja kuliko vihoja.
Jambo hili la Mkataba wa DP World ni la kisheria. Sote tulimtegemea tangu Bungeni kulizungumza na kuliongoza kisheria kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Lakini, siasa ikamzidi nguvu. Akafanya alivyoagizwa kichama na kiserikali badala ya kadiri ya taaluma yake. Bado, huko Mbeya, anaendelea kuliletea porojo, dhihaka na kebehi jambo hili na wale wanaolizungumzia. Siasa inamdhalilisha na kumtweza.
Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra.
Rais Samia, maoni yako ni yapi kuhusiana na Mkataba wa DP World?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
PHD ya Oxford, Cambrige, Havard sio kama ya UDSM. Dr Nshalla kapita Havard. Wanamtishia maisha kwa kuitetea Tanganyika.Kwa wanaojua ugumu wa kuipata PhD Amerika na Ulaya, nina wasi wasi Tulia aliweza kubebwa kupata hiyo PhD. Maana, akiongea unaona ni kilaza wa kawaida.
What is the herding behavior theory?Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu, msomi wa kiwango cha Shahada ya Uzamivu kutoka Chuo Kikuu cha Cape Town, Afrika ya Kusini sasa anadhalilishwa na kutwezwa na siasa. Msomi huyu na Mhadhiri wa zamani wa UDSM (mwanangu ambaye kwasasa naye ni Mhadhiri hapo alifundishwa naye) sasa ni dhahiri anazidiwa nguvu na siasa.
Siasa za kisasa zinataka matumizi sahihi ya fani, ujuzi na uzoefu juu ya mambo ambayo mwanasiasa anajihusisha nayo. Hata kwenye michakato ya kuwapata viongozi kwenye mihimili na kwingineko, mambo hayo huzingatiwa. Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kinapaswa kuongozwa na mwerevu wa, pamoja na mambo mengine, sheria.
Pamoja na kwamba kwasasa amehama kwenye tasnia ya sheria (alikofika ngazi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na kuhamia siasani, Dr. Tulia anapaswa kuwa mfano mwema. Anapaswa kuwaonesha watanzania kuwa taaluma yake ya sheria inatusaidia sote kupitia nafasi ya Uspika aliyonayo. Bado anapaswa kuzungumza kama mwanasheria-kuzungumza facts zaidi ya porojo na hoja kuliko vihoja.
Jambo hili la Mkataba wa DP World ni la kisheria. Sote tulimtegemea tangu Bungeni kulizungumza na kuliongoza kisheria kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Lakini, siasa ikamzidi nguvu. Akafanya alivyoagizwa kichama na kiserikali badala ya kadiri ya taaluma yake. Bado, huko Mbeya, anaendelea kuliletea porojo, dhihaka na kebehi jambo hili na wale wanaolizungumzia. Siasa inamdhalilisha na kumtweza.
Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra.
Rais Samia, maoni yako ni yapi kuhusiana na Mkataba wa DP World?
Mzee Tupatupa wa )Lumumba, Dar es Salaam