Hakika uanasiasa unamdhalilisha na kumuanika Spika Tulia A. Mwansasu

Mzee hongera sana kwa kuvumilia hapo Lumumba
 
Hakika kwa sasa, ukimsikiliza Tulia, kama hujaambiwa na mtu yeyote juu ya kiwango chake cha elimu, ni vigumu sana kufikiria kuwa anaweza kuwa japo na shahada moja ya sheria. Amekuwa ni mtu wa porojo na vioja, asiye na mvele wala nyuma, mtu asiyetambua hata thamani ya ubinadamu wake.

Kama watu wote waliosoma wangekuwa ni wanafiki na wasiojirambua kama Tulia, hakika kysingekuwa na haja hata ya kusoma.
 
"Katika mifumo ya kiintelijensia na kiutawala, sisi wabobevu wa mambo ya kiuongozi huwa tunaamini kuwa yeyote anayepewa chochote asichostahili au bila kutegemea, huyo huwa mnyenyekevu hadi kuwa mbovu. Anayestahili akipata husimama imara. Kukosa sifa huleta woga. Huleta kutojiamini. Hukufanya kuangalia pande zote kila mara. Huleta 'utumwa' wa kifikra"

Mimi naomba niishi na hayo maneno bora kabisa, yatanifaa baadae
 
Yaani imefika mahali Tulia unamuonea huruma tu.

Yaani vitu vingine unaona kabisa anaona hadi aibu.
 
Kukosa sifa hukosa kujiamini.

Hivi vyeo vya kupachikwa lazima uvitumikie hata kama ni kujidhalikusha ikibidi.
 
Hakuna sehemu inayoharibu taaluma ya mtu kama ccm.
Kuna Phd nyingi sana katika taifa hili ambapo kama zingekuwa zinapewa nafasi na uhuru taifa lingekuwa na hatua walao nyingi mbele.
Ila kweli wenye Phd wakiwa vyama vingine wana baki na sense zao.

Cc. kalamaganda kabidu
 
Kwa asili mwanamke wa kinyakyusa ni muoga, amejengwa katika mfumo wa utii adabu na unyenyekevu hata akiona sio yeye ataitikia ndio Tulia ni mpumbavu sana na ni mbwa pia
 
Mkuu mbona ile kashifa ya Richmond haikuwa na utata mwingi kama hii, lakini kuna watu jiuzuru nyadhifa zao; lakini hii iko poa tu, kwa nini?
 
Kusema kweli sikutegemea kuwa siasa ingemtoa ufahamu Tulia kiasi hiki.
 
Wanyakyusa hawapendi ubabaishaji,ni watu Wawazi sana na wamenyooka!
 
Huyu hapa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • IMG-20230714-WA0001.jpg
    58.3 KB · Views: 2
Mkuu Spika wa JMT yuko chini ya Rais. Anatetea kila kitu serikali inavyosema, tatizo katiba.
 
Kwa wanaojua ugumu wa kuipata PhD Amerika na Ulaya, nina wasi wasi Tulia aliweza kubebwa kupata hiyo PhD. Maana, akiongea unaona ni kilaza wa kawaida.
 
Kwa wanaojua ugumu wa kuipata PhD Amerika na Ulaya, nina wasi wasi Tulia aliweza kubebwa kupata hiyo PhD. Maana, akiongea unaona ni kilaza wa kawaida.
PHD ya Oxford, Cambrige, Havard sio kama ya UDSM. Dr Nshalla kapita Havard. Wanamtishia maisha kwa kuitetea Tanganyika.
 
What is the herding behavior theory?

Herding can be defined as the phenomenon of individuals deciding to follow others and imitating group behaviours rather than deciding independently and atomistically on the basis of their own, private information.
Hayo maelezo nitoka mtandao ya kijamii

Ya kwangu hii hapa:

Uyumbu ni tabia ya watu tulio wapa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kutumikia malengo ya kikundi fulani, (conflict of interest) ama uoga, (amygdala),kuogopa viongozi wao. Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objectives, (conflict of interest) or fear of their leaders,(amygdala), by Ipyana Haraba. The end result will be lack of individual decision making ,thus, disaster or uncertainty inherent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…