GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo....
1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine.
2. Kocha Nabi aliyempa Uprofesa wa Mpira hakukosea na ana Msaidizi Fundi wa Kimbinu Kocha Kaze.
3. Yanga SC inacheza Kitumu na Kimkakati zaidi kuliko Timu nyingine yoyote.
4. Ukiwatizama Wachezaji wa Yanga SC hata tu Body Language yao unaona Ushindi.
5. Fitness ya hali ya Juu waliyonayo Wachezaji wa Yanga SC ni ya kuwafanya Washinde daima na Kufungwa ni bahati mbaya Kwao.
6. Utulivu, Umakini uliopo pomoja na Professionalism ya hali ya Juu
katika Management yao ni Chachu ya Kufanikiwa.
7. Malaika Bahati si tu anawapenda bali Kaamua kabisa kukita Kambi Kwao.
Sioni Aibu au Uwoga tena huku nikijiamini kabisa ( pamoja na kwamba Mimi GENTAMYCINE ) ni Simba SC dam dam kuwa kwa 75% nawapa Yanga SC nafasi ya kuwa Mabingwa tena kwa Msimu huu japo najua na nakiri kuwa katika Soka / Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na muda wowote ule.
Tafadhali huu ni mtizamo wangu Mimi GENTAMYCINE na sijakulazimisha Uukubali na Uuamini japo una Wajibu wa Kuuheshimu kama ambavyo nami pia nitaheshimu Mchango wako hapa.
Yanga SC ni zaidi ya Jezi Nyeusi zao.